Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Nchi hata matatizo ya afya ya akili hatujaweza kuyapatia majina.Wachawi wameshikwa na watu wanaamini 😂 😂
Kama wachawi kwanini wasipotee hapo kichawi?
Kwanini wote huwa wanashikwa chini hatujawahi kuwaona wakiwa huko juu angani?
Haya ni maigizo kama maigizo mengine yote. Hao vijana ni wahanga.
Hakuna uchawi ila kuna imani za kishirikina. Imani hizi zinatamalaki kwenye jamii za watu WAJINGA na MASKINI. Huwezi kuta habari kamaa hii Dar sehemu yenye watu wenye vipato vya kati na walioelimika let alone Ulaya. Inabidi uwe zwazwa first class kuamini uchawi upo na unafanya kazi.
Kila kitu tunaita "kichaa".
Wenzetu wana schizophrenia, multiple personality disorder, paranoia, anxiety, bipolar, depression, psychosis, dissociative disorder, ma phobia ya kujaza encyclopaedia.
Nyie mnafikiri haya magonjwa ya wazungu tu? Kwetu hayapo?