radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Video vixen ambaye pia ni Muigizaji katika kiwanda cha Filamu Bongo, Kidoa Salum, amedai kamwe hawezi kuisahau video ya Rapa na Mbunge Profesa Jay TatuChafu kwani pamoja na kuuza nyago vya kutosha alilipwa shilingi 5000 (Elfu Tano) pekee na Mbunge huyo wa Mikumi.
Kidoa ameiambia Bongo.Home ya Times Fm kuwa, si Yeye pekee bali warembo wote walioonekana kwenye kichupa hicho walilamba 'Buku tano tano'.
Katika Hatua nyingine Mlimbwende huyo mwenye tuzo ya Urembo ya Gazeti la Ijumaa, amedai akitokea mtu yeyote ambaye ataamua kuweka Dau la shilingi Milioni 100 mezani, Yupo tayari kupiga 'Picha za Utupu' na kuziweka mbele ya 'Kadamnasi'.