Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
Yaani very Risk kama ni mhalifu bila backup si zinachapwa man to manUkute kalipwa chake mfukoni na huyo mwenye malalamiko meenye kesi na RB yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani very Risk kama ni mhalifu bila backup si zinachapwa man to manUkute kalipwa chake mfukoni na huyo mwenye malalamiko meenye kesi na RB yake
Ukamataji holela ukomeshwe ili kutoipa mwanya utekaji. Mwamko wa wananchi kujilinda ni mwanzo mzuri wa amani yao.Wakuu,
Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga.
Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela.
Wananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata?
Tukio hili linakuja siku chache tangu afisa mmoja wa TRA kupigwa mpaka kufa wakati anajaribu kumkamata raia wa kawaida bila kufuata utaratibu.
Ndio kusema kwamba watanzania wameanza kuamka?
View attachment 3173103
View attachment 3173105
Tunakoelekea siko kuzuri ,anabahati wananchi wametumia ustaarabu wangemfanya vibayaWakuu,
Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga.
Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela.
Wananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata?
Tukio hili linakuja siku chache tangu afisa mmoja wa TRA kupigwa mpaka kufa wakati anajaribu kumkamata raia wa kawaida bila kufuata utaratibu.
Ndio kusema kwamba watanzania wameanza kuamka?
View attachment 3173103
View attachment 3173105
Dakika ya mwisho walifanikiwa kumchukua ?!Wakuu,

Uwa hairuhusiwi eh? Na wale maaskari kanzu wanaowafuatilia watuumiwa hadi mikoani walikokimbilia wakiwapata uwa wanawaita maaskari wa kituo jirani ndio wawakamate?Utoke Ukonga ukakamate mtu Kinondoni?
Wananchi wa kinondoni urojo sanaWakuu,
Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga.
Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela.
Wananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata?
Tukio hili linakuja siku chache tangu afisa mmoja wa TRA kupigwa mpaka kufa wakati anajaribu kumkamata raia wa kawaida bila kufuata utaratibu.
Ndio kusema kwamba watanzania wameanza kuamka?
View attachment 3173103
View attachment 3173105
Sure huyu alitakiwa afundishwe adabu !!Yaani ningekuwepo angepata kwanza tofali la kichwa halafu angemwachilia mara mojaSasa Kwanini hawajampiga huyo mtekaji?wananchi wanakataa na yeye anajigamba au Kwa kuwa aliona ni wanawake?ningekuwepo angekula fimbo na makofi.
Kuna kuwa na notice kwenye kituo cba karibu na askari wakaazi wanashirikishwa.Uwa hairuhusiwi eh? Na wale maaskari kanzu wanaowafuatilia watuumiwa hadi mikoani walikokimbilia wakiwapata uwa wanawaita maaskari wa kituo jirani ndio wawakamate?
Wakuu,
Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga.
Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela.
Wananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata?
Tukio hili linakuja siku chache tangu afisa mmoja wa TRA kupigwa mpaka kufa wakati anajaribu kumkamata raia wa kawaida bila kufuata utaratibu.
Ndio kusema kwamba watanzania wameanza kuamka?
View attachment 3173103
View attachment 3173105
Itafikia wakati wahalifu halisi watapiga kelele za kutekwa na kuomba msaada,, na polisi itashindwa kutekeleza majukumu yake. Na hii imetokana na hofu ya matukio ya mauaji ya raia wasio na hatia. Serikali ikomeshe kabisa mauaji haya. Mtu akikamatwa apelekwe polisi tumpelekee chakula tukimuona rumande sio kuokotwa katobolewa macho.Wakuu,
Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga.
Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela.
Wananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata?
Tukio hili linakuja siku chache tangu afisa mmoja wa TRA kupigwa mpaka kufa wakati anajaribu kumkamata raia wa kawaida bila kufuata utaratibu.
Ndio kusema kwamba watanzania wameanza kuamka?
View attachment 3173103
View attachment 3173105
Kila mtu mtekaji, yaani unaweza kuamka asbhi ukajiamrisha tu kwamba " Leo naenda kumteka mdeni wangu" na unaenda kumteka kweli.Nchi haina mwenyewe saizi
Safi sana wananchi. Wabongo wameanza kuamka. Sasa Polisi wajifunze kufanya kazi kwa mujibu wa sheria. Watu wanatekwa wanashindwa kufuatilia na kutoa majibu yanayojitosheleza. Itafika mahali wananchi wataamua kujilinda na kuwakataa polisi. Nilitamani juzi IGP angetumbuliwa maana amepwaya sana. Polisi jirekebisheni.Wakuu,
Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga.
Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela.
Wananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata?
Tukio hili linakuja siku chache tangu afisa mmoja wa TRA kupigwa mpaka kufa wakati anajaribu kumkamata raia wa kawaida bila kufuata utaratibu.
Ndio kusema kwamba watanzania wameanza kuamka?
View attachment 3173103
View attachment 3173105
naWakuu,