Video: Vurugu zazuka Kinondoni baada ya raia kugoma mwenzao kuchukuliwa na Polisi wakihofia Polisi huyo kuwa mtekaji

Ukamataji holela ukomeshwe ili kutoipa mwanya utekaji. Mwamko wa wananchi kujilinda ni mwanzo mzuri wa amani yao.
 
Tunakoelekea siko kuzuri ,anabahati wananchi wametumia ustaarabu wangemfanya vibaya
 
Dakika ya mwisho walifanikiwa kumchukua ?!
Jamaa nae mzembe back up yote aliyopata bado katulia tu.. angetumia nafasi hiyo kuliamsha dude
 
Wananchi wa kinondoni urojo sana
 
Uwa hairuhusiwi eh? Na wale maaskari kanzu wanaowafuatilia watuumiwa hadi mikoani walikokimbilia wakiwapata uwa wanawaita maaskari wa kituo jirani ndio wawakamate?
Kuna kuwa na notice kwenye kituo cba karibu na askari wakaazi wanashirikishwa.

Hii ya mtu kutoka Dar kuja kukamata Mbeya ndio Utekaji wenyewe ulipo
 
Naan

Itafikia wakati wahalifu halisi watapiga kelele za kutekwa na kuomba msaada,, na polisi itashindwa kutekeleza majukumu yake. Na hii imetokana na hofu ya matukio ya mauaji ya raia wasio na hatia. Serikali ikomeshe kabisa mauaji haya. Mtu akikamatwa apelekwe polisi tumpelekee chakula tukimuona rumande sio kuokotwa katobolewa macho.
 
Safi sana wananchi. Wabongo wameanza kuamka. Sasa Polisi wajifunze kufanya kazi kwa mujibu wa sheria. Watu wanatekwa wanashindwa kufuatilia na kutoa majibu yanayojitosheleza. Itafika mahali wananchi wataamua kujilinda na kuwakataa polisi. Nilitamani juzi IGP angetumbuliwa maana amepwaya sana. Polisi jirekebisheni.
 
Ila mwisho wa siku wamembeba. Jamaa alikuwa anafurahia assist ya wananchi ilihali anajua kweli alizingua na ana kesi ya kujibu.
na
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…