Nyinyi si ndo huwa mnaiita serikali ya CCM, au hilo jina linakuwa applicable sehemu ambapo serikali imeteleza kiutendajiš¤?Hakuna Serikali ya CCM .
Sasa mbona mnapoteza nguvu na rasilimali zenu juu ya kitu ambacho mnajua kabisa hakina haki?Acha uwongo wako hayo yalitokea kabla ya katiba mpya mbona mahakama ilifuta matokeo ya uchaguzi wa Rais, hivi hapa Tanzania na hizi mahakama za kusubiria maelekezo ya Rais nani anaweza kufuta matokeo ya uchaguzi wa Rais kwanza hayapingwi tume ikishampendelea basi.
SawaHakuna Serikali ya CCM .
Hawa hawawezi kuchambua siasa za Kenya kwa kulinganisha na Tanzania kuliko PLO Lumbumba; hawa ni wababaishaji tu. Msikie Lumbumba alivyosema hapaHawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
Chadema kupewa pesa na serikali ya CCM ni takwa la kisheria,ndivyo hivyohivyo Rais wa jumuhuli ya muungano kuteuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.Wewe inaonekana una utindio wa ubongo. CHADEMA Kupewa Fedha takwa la kisheria ni haki yao kwa vile Wana idadi kubwa ya Wabunge na Madiwani. Chama chochote kisicho na uwakilishi Bungeni au kwenye Halmashauri(Udiwani) hakiwezi kupewa Fedha maana hakina sifa na hiyo haiwezi kuchukuliwa kuwa Ubaguzi.. !!!
Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
hii ndo akili za CCM,unakwepa hoja kijinga kabisa. hoja ni tume,usitutoe kwenye mstari. au hoja ya tume majibu yake ni ukabila?Siasa za Kenya ni za ubaguzi wa kikabila.
Kenya wapambane kwanza waondoe hili kabla ya wao kukosoa wengine.
Ndio journaling, unajikuta unakosoa ngeli ya mkulu wakati hata hujui maana ya journalingJournaling ?
Na hapa JF na Tanzania nzima kwa ujumla wapo wengi! Sijui wanajitoa ufahami makusudi!!!!!?Ni maoni sahihi, kama hauna akili timamu ndiyo utayapinga
Nimeukuta katikati mjadala huu ingawa kwenye uzi mwingine wa subject hii nilicomment....hivi huko Kenya kuna demokrasia gani wanayoringia?! Tanzania tunayo demokrasia na tume huru...huko Kenya kuna demokrasia gani?! Hivi kweli Kenya wana tume huru?! Kama ni hivyo mbona Kila uchaguzi ukimalizika huwa ni mapambano ya silaha chanzo kimojawapo kikiwa ni tume inayodaiwa kuwa ni huru?! Tangu lini Kenya kukawa na demokrasia?! Hao wachambuzi was Kenya ni wajinga na wapumbavu pamoja na ushenzi...demokrasia Kenya?! Tangu lini?! Hiyo ni demokrasia ya wenye nacho ...familia chache nchini Kenya zinamiliki karibu nusu ya ardhi ya Kenya na kuwaacha wakenya kwa mamilioni wakiwa hawana hata mita moja ya mraba ya ardhi...familia ya kiongozi mmoja maarufu was Kenya inamiliki maelfu kwa maelfu ya ekari za ardhi...yaani karibu 1/7 ya ardhi ya Kenya inamilikiwa na familia moja...hakuna chombo Cha habari Cha Kenya kinachohoji Hilo..demokrasia gani hiyo...yaani wakenya badala ya kujadili Mambo yao wanaleta uchochezi huku katika kipindi hiki nyeti Cha uchaguzi?! Huo ni uchokozi na pia uchochezi...demokrasia gani wanayoringia. Kenya...kwenye Corona viongozi wait wamekopa hell na zimeliwa na wachache Bila hata aibu huku wakenya kwa mamilioni wakiliazimishwa kujifu gia ndani na kuteseka kwa njaa...stupid...hiyo ndiyo demokrasia?!hii ndo akili za CCM,unakwepa hoja kijinga kabisa. hoja ni tume,usitutoe kwenye mstari. au hoja ya tume majibu yake ni ukabila?
Anaekosoa nae anamakubwa na mazito zaidi ya tume.hii ndo akili za CCM,unakwepa hoja kijinga kabisa. hoja ni tume,usitutoe kwenye mstari. au hoja ya tume majibu yake ni ukabila?
Unahamisha mada. Mada ni kuwa Rais kuteua Tume ya Uchaguzi huku naye ni mgombea ni jambo halikubaliki siku nyingi kwenye demokrasiaPale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine.
Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
Kasoro unazozisema hazihusu mada. Mada ni kuwa Tume ya Uchaguzi isiteuliwe na rais au serikali, sababu moja kati ya zile za kidemokrasia ni kuwa na yeye ni mgombea. Tuseme ukweli tu, hili lilipitwa na wakati siku nyingi. Hata Katiba iliyopendekezwa bila kura za UKAWA iliondoa kasoro hii. Ni uongozi huu tu ndio unafurahia kasoro hii. Wewe unasikika kama mtu ujuaye mambo ya kisasa. Fanya mengine, utetezi wa hii kasoro haukufaiNimeukuta katikati mjadala huu ingawa kwenye uzi mwingine wa subject hii nilicomment....hivi huko Kenya kuna demokrasia gani wanayoringia?! Tanzania tunayo demokrasia na tume huru...huko Kenya kuna demokrasia gani?! Hivi kweli Kenya wana tume huru?! Kama ni hivyo mbona Kila uchaguzi ukimalizika huwa ni mapambano ya silaha chanzo kimojawapo kikiwa ni tume inayodaiwa kuwa ni huru?! Tangu lini Kenya kukawa na demokrasia?! Hao wachambuzi was Kenya ni wajinga na wapumbavu pamoja na ushenzi...demokrasia Kenya?! Tangu lini?! Hiyo ni demokrasia ya wenye nacho ...familia chache nchini Kenya zinamiliki karibu nusu ya ardhi ya Kenya na kuwaacha wakenya kwa mamilioni wakiwa hawana hata mita moja ya mraba ya ardhi...familia ya kiongozi mmoja maarufu was Kenya inamiliki maelfu kwa maelfu ya ekari za ardhi...yaani karibu 1/7 ya ardhi ya Kenya inamilikiwa na familia moja...hakuna chombo Cha habari Cha Kenya kinachohoji Hilo..demokrasia gani hiyo...yaani wakenya badala ya kujadili Mambo yao wanaleta uchochezi huku katika kipindi hiki nyeti Cha uchaguzi?! Huo ni uchokozi na pia uchochezi...demokrasia gani wanayoringia. Kenya...kwenye Corona viongozi wait wamekopa hell na zimeliwa na wachache Bila hata aibu huku wakenya kwa mamilioni wakiliazimishwa kujifu gia ndani na kuteseka kwa njaa...stupid...hiyo ndiyo demokrasia?!
kenya kuna binadamu kamili wanaojitambua,huku kwetu tuna binadamu sokwePale Kenya sasa hivi ni kama hamna mkubwa! Kila mtu ni kambare! Wamejaa ukabila, hayo ndio waliyoendelea hakuna kingine
Fikiria uchaguzi bado miaka 2 lakini ofisi ya rais Kenyata ina mgogoro wa kugombea madaraka ya 2022
Niliyoyazungumza ndiyo mada yenyewe...mada ni tume huru na demokrasia..huko Kenya ni Nani anateua hiyo tume inayodaiwa ni huru?! Composition ya wanaoteua ikoje?! Na composition ya walioteuliwa ikoje?! Suala hapa siyo Nani anateua?! Issue hapa no utendaji wa tume na impartiality katika utendaji...je, hiyo tume ya Kenya iko impartial?! To what extent?! Kama iko impartial ni vipi Kila baada ya uchaguzi kunakuwa na shida na hata mapambano ya silaha na mamia kuuawa?! Hujui kuwa viongozi wa Kenya waliwahi kushirakiwa kwenye mahakama ya kimataifa baada ya uchaguzi?! I hate watu wanaozungumzia demokrasia wasijue maana ya demokrasia...do you think in Kenya media iko free?! To what extent?! Do you think media Kama the Daily Nation itakosoa miradi ya Aghakan? People are talking of democracy and they mean liberal democracy. Do you think liberal democracy is feasible in Africa in each and every aspect?!Kasoro unazozisema hazihusu mada. Mada ni kuwa Tume ya Uchaguzi isiteuliwe na rais au serikali, sababu moja kati ya zile za kidemokrasia ni kuwa na yeye ni mgombea. Tuseme ukweli tu, hili lilipitwa na wakati siku nyingi. Hata Katiba iliyopendekezwa bila kura za UKAWA iliondoa kasoro hii. Ni uongozi huu tu ndio unafurahia kasoro hii. Wewe unasikika kama mtu ujuaye mambo ya kisasa. Fanya mengine, utetezi wa hii kasoro haukufai