Video: Wachina wana mpango gani na nchi yetu? Kuna hii store Mikocheni wanauza kila kitu 3,000. What's going on?

Quality of the commodity gears for the price
 
Nijambo la
Nijambo la kawaida duniani huko,mfano uingereza kuna maduka kama POUNDLAND na Poundstretcher hump ndani Kila kitu ni paundi Moja ispokuwa vichache Sana,lkn quality yeke ndo Ile yakwantogole,
 
Nani kakwambia wanauza vibanio vya nywele tu humo ndani. Wanauza vitu vingi sana humo ambavyo value yake sio 3000

But still, haimake sense kuanzisha hiyo store Mikocheni.
Vitu gan hivyo ambavyo havimake sense vitaje
 
Nadhani Watu tuna miss point ya msingi hapa.Na wengine wanamlaumu Mleta uzi kwamba ana wivu.Kikubwa ni kwamba hilo duka ni la kurahisisha uuzaji wa bidhaa zao wanazozalisha China.Huwezi kukuta kuna bidhaa ya kwetu au kwingine.Ndio kusema hata kama hump kipo cha elfu kumi kitafidiwa na bidhaa nyingine iliyopaswa kuuzwa mia tano au elfu moja, kikubwa kwao ni mauzo yawe mengi.Tatizo hapa ni kuwa bidhaa za aina hiyo hamtokaa mzitengeneze wenyewe kwani wataleta wao maelfu ya makontena.Kama tuna akili timamu hayo si ya kushabikia.Kama wanatupenda basi wangeleta hiyo teknolojia tuzalishe wenyewe . Sisi kujazana hump dukani ni kukuza shira China na kwenu kubaki kuwa Waendesha Bodaboda.
 
We shida yako nini, watu wanataka unafuu wa maisha we unashangaa? Hao ni wakombozi wa watanzania
 
Nahisi ni sawa na mkulima wa mpunga mbarali akafanya biashara ya mama ntilie mwenge.
Huwezi kucompete naye, hata akiuza sahani ya ubwabwa 1000 bado atapata faida kidogo tena atakuwa anauza nyingi kwa muda mfupi.
Ubaruku hoyeeeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hamna lolote wachina wako dunia nzima
Nadhani pengine hata hujatoka nje ya Tanzania na mbaya zaidi hujui tunachozungumzia. Nani kasema wachina wako China tu? Niliwa Europe, nimekula sana kwenye migahawa ya kichina na katu sitasema wachina wafukuzwe au wasiruhusiwe kuja Bongo. ''Wanakuja kufanya nini'' na hawa watawala walioshindwa kila kitu wamejiandaa vipi kwa ukio wao, hilo ndilo jambo muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…