Video: Wakamatwa wakitengeneza 'Oil fake' za TotalEnergies

Video: Wakamatwa wakitengeneza 'Oil fake' za TotalEnergies

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
14,521
Reaction score
46,663
Kilas iku tutaendelea kuwasanua ndugu zetu kuwa hapa DAR kama unataka oil za kampuni ya TotalEnergies nenda kwenye petrol station zao.

Oil za TotalEnergies asilimia 85% ni fake hasa zinazouzwa uswahilini....hivi viwanda bubu zipo pale Tabata dampo na serikali inajua kila kitu.

Swali la ufahamu!
Hizo oili fake wanatumia malighafi gani? Wana mitambo yoyote inayoweza kuchakata hiyo mali ghafi walau ifanye kitu kama Oil husika?

Mbona hapo naona ni vijana wachovu na wanatumia mikono zaidi, au hiyo packaging stage tu baada ya uhuni wa wakubwa zao!

TBS bado wapo nchini?
 
Kiufupi huo mchakato mzima mpaka kubandika sticker ni illegal na huwa hazifanywi kienyeji ivyo.
 
Swali la ufahamu!
Hizo oili fake wanatumia malighafi gani? Wana mitambo yoyote inayoweza kuchakata hiyo mali ghafi walau ifanye kitu kama Oil husika?

Mbona hapo naona ni vijana wachovu na wanatumia mikono zaidi, au hiyo packaging stage tu baada ya uhuni wa wakubwa zao!

TBS bado wapo nchini?
Hapo wapo kwenye final stage ya packages.
Tabata dampo ndiko kuna kituo kikuu cha kuhifadhi oil chafu
 
Kuna mtu aliniambia ukiwa bongo kunywa local beer hizo tu ndo hawachakachui ila hizi Hennessy sijui JD zinatoka Buza tu Hapo maghettoni kwa mtu. Bongo nyoso

Screenshot 2026-02-12 071849.png
 
Ukitaka kuamini TOTAL oil inachakachuliwa ndipo humfikia mnunuzi fanya hivi, nunua oil yako 1litre kama unaweka kwenye pikipiki mimina kwa umakini, chini ya oil mwishoni wakati unamimina kuna oil nyeusi imekusanyika, hapo ndipo utajua kuwa umenunua oil used iliyowekwa kwenye kopo lenye nembo ya total energies kwa bei kubwa.
 
Swali la ufahamu!
Hizo oili fake wanatumia malighafi gani? Wana mitambo yoyote inayoweza kuchakata hiyo mali ghafi walau ifanye kitu kama Oil husika?

Mbona hapo naona ni vijana wachovu na wanatumia mikono zaidi, au hiyo packaging stage tu baada ya uhuni wa wakubwa zao!

TBS bado wapo nchini?
Hizi oil kuna kampuni zinazotengeneza,ni oil za kiwango cha chini sana,na wanaziuza kwa bei ya chini vile vile,sasa hawa wahuni wanachofanya ni kutafuta jina maarufu na lebo zake wanabandika na kuziuza kwa bei sawa na original,unaweza kukuta kuna magari yanatumia na hakuna madhara yanayotokea,ila kuna baadhi ukijaribu kutumia lazima ulie.Kuna kipindi nilikuwa natumia Castrol 5w-30 nikiamini hizi ni original,kuna sehemu nikaenda nikapewa Castrol 5w-30 dumu kama lile,lakini lina maadishi ya kiarabu kwa chini,nikaambiwa hizo ndio original,kifupi ni kuomba tu Mungu kwani kugundua original na feki ikishakuwa dukani sio rahisi,na hata mwenyewe anaeuza akasema kwa wewe mlaji kugundua ni kazi sana ila wenyewe wanazijua...
 
Swali la ufahamu!
Hizo oili fake wanatumia malighafi gani? Wana mitambo yoyote inayoweza kuchakata hiyo mali ghafi walau ifanye kitu kama Oil husika?

Mbona hapo naona ni vijana wachovu na wanatumia mikono zaidi, au hiyo packaging stage tu baada ya uhuni wa wakubwa zao!

TBS bado wapo nchini?
Oil chafu hizi hizi zinazomwagwa kwenye magari,zinachanganywa na sabuni ya unga halafu inachemshwa
 
Hizi oil kuna kampuni zinazotengeneza,ni oil za kiwango cha chini sana,na wanaziuza kwa bei ya chini vile vile,sasa hawa wahuni wanachofanya ni kutafuta jina maarufu na lebo zake wanabandika na kuziuza kwa bei sawa na original,unaweza kukuta kuna magari yanatumia na hakuna madhara yanayotokea,ila kuna baadhi ukijaribu kutumia lazima ulie.Kuna kipindi nilikuwa natumia Castrol 5w-30 nikiamini hizi ni original,kuna sehemu nikaenda nikapewa Castrol 5w-30 dumu kama lile,lakini lina maadishi ya kiarabu kwa chini nikaambiwa hizo ndio original,kifupi ni kuomba tu Mungu kwani kugundua original na feki ikishakuwa dukani sio rahisi,na hata mwenyewe anaeuza akasema kwa wewe mlaji kugundua ni kazi sana ila wenyewe wanazijua...
Kwa hapa DAR kuna sehemu mbili ninazozijua Amazon wanauza oil za Castrol original haya ni maduka ya wahindi pia ni authorized dealer Kwa kariakoo nzima.... kariakoo mtaa wa kiungani/ Livingstone duka linaitwa SAI linatazamana na uwanja wa JK hawa wanauza Castrol oil 5W-30 EDGE Kwa 165,000/=
Na wahindi wengine wapo mtaa wa mwamvita nyuma ya salama bearings utapata Castrol oil original Kwa bei 165,000.
 
Oil fake, maji feki, dawa feki, kila kitu feki.... tutaponea wapiiii???? Ee Mungu tuangalie waja wako
Haya mambo ni matokeo ya uongozi feki. Rais mhuni, feki, anafikiria kutesa na kuua. Polisi nao hivyo hivyo. Mmi nikiona mambo kama haya wala sishangai tena kwa sababu nanjua nchi ikishakosa uongozi wa halali na kuwa na kundi la wahuni wanaofanya uongozi kama sehemu ya starehevbasi usitegemee mambo yaende sawa.
 
Back
Top Bottom