Video: Wakamatwa wakitengeneza 'Oil fake' za TotalEnergies

Na ndio maana gari zinakufa kwa kasi kubwa kwa sasa uhuni umekuwa mkubwa mimi kwa sasa oil nilienda kununua kwa toyota wenyewe kkoo wale wenye vibali wana bei lakini ni og filter tu ni 35000 ila mtaani filter 10k 5k unategemea nini

Ushauri wangu ukitaka kubadili engine oil usimuachie kazi fundi ya kwnda kununua nenda mwenyewe sheli au maduka ya wahindi makubwa kkoo ambayo.wadau wameelezea hapa na hakikisha oil iwe sawa na mtengenezaji wa gari alivyoelekeza nunua mpelekee fundi wewe mwenyewe na hakikisha unamsimamia hakuna kumpa gape

Sent from my TECNO CL6k using JamiiForums mobile app
Ukitaka OG ni kwenda total kabisa, ukienda kwenye vituo vyao ni yaleyale tu, ukienda maduka makubwa ni walewale tu mkuu.

Hizo unazoona ni deals za wakubwa serikalini, wakishirikiana na wachina na wahindi.
 
Total kwenyewe ni wapi kuna makao makuu ya total hapa bongo yanayouza oil? Nachojua mimi total ni wauzaji wa nishati ya mafuta na oil pamoja na gas ambao wamefungua matawi yao kama ni huduma utazipata kwenye matawi yao sasa unavyosema uende total kwenyewe ni total ipi

Unavyosema matawi ni matapeli hapana mm nimeenda Toyota kariakoo wana spare og hata oil mara ya kwanza nilipata og nkaenda hadi km 4500 ipo vile vile nikabadilisha kwa sababu ya sheriatu isivuke km 5000

Toyota kkoo wana vitu og sema bei oil tu ya gearbox 2sz ni 240,000

Nilichanganya, nilimaanisha kwenda TOYOTA utakuta oil OG, ila "shell " za total energies nako kuna wafanyakazi sio waaminifu pia.
 
Huu ni mchongo ambao kila garage haukosi mshambuliaji ukipewa hiyo ukapewa na service card unajiona mwamba kifupi kama sio mfatiliaji imekula kwake maana unaweza uziwa na bado fundi wako akapewa nae hongo kidogo inamiminwa hivyo katika gari
 
Ishu ni moja tu kwa usalama wa gari yako nenda kanunue mwenyewe oil kwa branch za kuaminika hasa toyota na maduka makubwa ya wahindi town hawana janja janja ila ukubali tu bei zao zimenyooka hakuna oil ya sh 45000 kule

Sent from my TECNO CL6k using JamiiForums mobile app
 
Mkuu
Mimi mara ya mwisho nilinunua engine oil ya vitz w30 toyota branch kkoo authorised na filter original wenyewe na nikampelekea fundi mwenyewe nikamsimamia , oil og kanunue kwa wahusika wenywe au maduka makubwa ya wagindi hawana kona kona ila ndio bei

Sent from my TECNO CL6k using JamiiForums mobile app
mkuu unatumia vitz ya mwaka gani??yangu inakula mafuta 8.8km/L naona hali sio ya kawaida
 
Natumia vitz 2007 new mdl cc 1290, yangu mafuta fresh angaliwa fuel pump, zile piston vzr zinaweza changia alafu kagua masega

Back
Top Bottom