Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 11,394
- 21,391
Hata huko kwenye vituo vya Total uwezekano wa kukutana na hizo fake ni mkubwa!!
Nilienda kituo chao wakasema 5W30 hawana ipo 20W50!
Wale ni wabongo wenzetu tunajuana,mazingira kama hayo huyo mfanyakazi si anachukua mzigo mtaani tu anaupenyeza hapo akisubiri stock kutoka juu.
NB:Haya mambo ndiyo yanafanya magari ya kizungu yaonekane vichomi.
Hapo hakuna hata mtambo wa ku-grade hizo oil,wanaweka lebo tu SAE 40,15W40 etc