PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Kiufupi huo mchakato mzima mpaka kubandika sticker ni illegal na huwa hazifanywi kienyeji ivyo.Swali la ufahamu!
Hizo oili fake wanatumia malighafi gani? Wana mitambo yoyote inayoweza kuchakata hiyo mali ghafi walau ifanye kitu kama Oil husika?
Mbona hapo naona ni vijana wachovu na wanatumia mikono zaidi, au hiyo packaging stage tu baada ya uhuni wa wakubwa zao!
TBS bado wapo nchini?
Hapo wapo kwenye final stage ya packages.Swali la ufahamu!
Hizo oili fake wanatumia malighafi gani? Wana mitambo yoyote inayoweza kuchakata hiyo mali ghafi walau ifanye kitu kama Oil husika?
Mbona hapo naona ni vijana wachovu na wanatumia mikono zaidi, au hiyo packaging stage tu baada ya uhuni wa wakubwa zao!
TBS bado wapo nchini?
We pia utakuwa hujitambui,maana hizo oil hawa supply kwenye maduka ya vifaa og..kama unanunua oil vichochoroni lazima upigweChuma umenunua million kadhaa afu wahuni taratibu wanaharibu
We pia utakuwa hujitambui,maana hizo oil hawa supply kwenye maduka ya vifaa og..kama unanunua oil vichochoroni lazima upigwe
Oil fake, maji feki, dawa feki, kila kitu feki.... tutaponea wapiiii???? Ee Mungu tuangalie waja wako
Hizi oil kuna kampuni zinazotengeneza,ni oil za kiwango cha chini sana,na wanaziuza kwa bei ya chini vile vile,sasa hawa wahuni wanachofanya ni kutafuta jina maarufu na lebo zake wanabandika na kuziuza kwa bei sawa na original,unaweza kukuta kuna magari yanatumia na hakuna madhara yanayotokea,ila kuna baadhi ukijaribu kutumia lazima ulie.Kuna kipindi nilikuwa natumia Castrol 5w-30 nikiamini hizi ni original,kuna sehemu nikaenda nikapewa Castrol 5w-30 dumu kama lile,lakini lina maadishi ya kiarabu kwa chini,nikaambiwa hizo ndio original,kifupi ni kuomba tu Mungu kwani kugundua original na feki ikishakuwa dukani sio rahisi,na hata mwenyewe anaeuza akasema kwa wewe mlaji kugundua ni kazi sana ila wenyewe wanazijua...Swali la ufahamu!
Hizo oili fake wanatumia malighafi gani? Wana mitambo yoyote inayoweza kuchakata hiyo mali ghafi walau ifanye kitu kama Oil husika?
Mbona hapo naona ni vijana wachovu na wanatumia mikono zaidi, au hiyo packaging stage tu baada ya uhuni wa wakubwa zao!
TBS bado wapo nchini?
Oil chafu hizi hizi zinazomwagwa kwenye magari,zinachanganywa na sabuni ya unga halafu inachemshwaSwali la ufahamu!
Hizo oili fake wanatumia malighafi gani? Wana mitambo yoyote inayoweza kuchakata hiyo mali ghafi walau ifanye kitu kama Oil husika?
Mbona hapo naona ni vijana wachovu na wanatumia mikono zaidi, au hiyo packaging stage tu baada ya uhuni wa wakubwa zao!
TBS bado wapo nchini?
Kwa hapa DAR kuna sehemu mbili ninazozijua Amazon wanauza oil za Castrol original haya ni maduka ya wahindi pia ni authorized dealer Kwa kariakoo nzima.... kariakoo mtaa wa kiungani/ Livingstone duka linaitwa SAI linatazamana na uwanja wa JK hawa wanauza Castrol oil 5W-30 EDGE Kwa 165,000/=Hizi oil kuna kampuni zinazotengeneza,ni oil za kiwango cha chini sana,na wanaziuza kwa bei ya chini vile vile,sasa hawa wahuni wanachofanya ni kutafuta jina maarufu na lebo zake wanabandika na kuziuza kwa bei sawa na original,unaweza kukuta kuna magari yanatumia na hakuna madhara yanayotokea,ila kuna baadhi ukijaribu kutumia lazima ulie.Kuna kipindi nilikuwa natumia Castrol 5w-30 nikiamini hizi ni original,kuna sehemu nikaenda nikapewa Castrol 5w-30 dumu kama lile,lakini lina maadishi ya kiarabu kwa chini nikaambiwa hizo ndio original,kifupi ni kuomba tu Mungu kwani kugundua original na feki ikishakuwa dukani sio rahisi,na hata mwenyewe anaeuza akasema kwa wewe mlaji kugundua ni kazi sana ila wenyewe wanazijua...
Haya mambo ni matokeo ya uongozi feki. Rais mhuni, feki, anafikiria kutesa na kuua. Polisi nao hivyo hivyo. Mmi nikiona mambo kama haya wala sishangai tena kwa sababu nanjua nchi ikishakosa uongozi wa halali na kuwa na kundi la wahuni wanaofanya uongozi kama sehemu ya starehevbasi usitegemee mambo yaende sawa.Oil fake, maji feki, dawa feki, kila kitu feki.... tutaponea wapiiii???? Ee Mungu tuangalie waja wako