Acha ufala ni wapi hakuna hii michezo.... Mmekalia upuuzi kila sehemuHaya mambo ni matokeo ya uongozi feki. Rais mhuni, feki, anafikiria kutesa na kuua. Polisi nao hivyo hivyo. Mmi nikiona mambo kama haya wala sishangai tena kwa sababu nanjua nchi ikishakosa uongozi wa halali na kuwa na kundi la wahuni wanaofanya uongozi kama sehemu ya starehevbasi usitegemee mambo yaende sawa.
We are talking about how often and common it is... acha kuleta majibu ya kizee hapa.Acha ufala ni wapi hakuna hii michezo.... Mmekalia upuuzi kila sehemu
Ipo hivi*Dubai na China Kuna Makampuni Yana zalisha Oil ambazo ata hao BP,Total etc wananunua same factories. Tofauti Hahaha Mashirika Yana Mahabara zinazo hakikisha product inatoka nzuri, imara na madhubuti- wanaozalisha fake wanataka super profit - wanachanganya madubwana menhine Ili oil iwe nyingi😭 Oil hizi Zina haribu Engines za magari hasa haya ya miaka hii ya katibuni yenye high Electronics Systems . Pia ata Pombe ni hivyo- Wananunua Ethanol in Bulk wanakuja changanya na makolokolo yanayoua Figo za watu ili wao wapate faida zaidiSwali la ufahamu!
Hizo oili fake wanatumia malighafi gani? Wana mitambo yoyote inayoweza kuchakata hiyo mali ghafi walau ifanye kitu kama Oil husika?
Mbona hapo naona ni vijana wachovu na wanatumia mikono zaidi, au hiyo packaging stage tu baada ya uhuni wa wakubwa zao!
TBS bado wapo nchini?
🤣🤣Hapana- oil Chafu inauzwa kwenye viwanda vya kuzalisha Nondo🤣 - Wananunua oil za jumla - ila wanna jijazia tu kwenye vidumu na kuweka lebo,Tatizo unanunua oil ya Paso kumbe kwenye kidumu wameweka oil ya Kifaru🤣🤣- oil zina kitu kinaitwa Viscocity (mnato) sasa Kuna tofauti ya oil ya Gari za Petrol na zile za Diesel. Unaweka kwenye Paso Oil ya Greda la Katapila kwa mfano. Engine lazima i rest in pieces 😀Oil chafu hizi hizi zinazomwagwa kwenye magari,zinachanganywa na sabuni ya unga halafu inachemshwa
Wenzetu wale wahindi wana hofu ya mungu ndio mana unakuta anauza original na bei inakua kubwa.sasa hio 5w30 pale mitaa ya maoil oil sijui wanapaitaje karibu na fire unaipata mpka 65000. Mfanyabiashara anakaa miaka nenda haendelei hela haikai kunbe ana ma laana ya watuKwa hapa DAR kuna sehemu mbili ninazozijua Amazon wanauza oil za Castrol original haya ni maduka ya wahindi pia ni authorized dealer Kwa kariakoo nzima.... kariakoo mtaa wa kiungani/ Livingstone duka linaitwa SAI linatazamana na uwanja wa JK hawa wanauza Castrol oil 5W-30 EDGE Kwa 165,000/=
Na wahindi wengine wapo mtaa wa mwamvita nyuma ya salama bearings utapata Castrol oil original Kwa bei 165,000.
Kwa hapa Tanzania kuna brands nyingi za oil zinazotokea china yaani ni shida tupu hazina tofauti na hizi zinazotokea tabata dampo .Nilikua napakia Oil kutoka SA sema hao jamaa wa oil fake wanauza kwa bei ndogo sana viwanda vingine vipo Lusaka,Zambia wanaleta kama zimetoka SA ndio maana magari bongo yanawasumbua sana Engine tena kwa yale magari dume sio masumbufu kwa mtu anaejua oil ukiimwaga chini utaona inavyotawanyika kama maji kwa haraka..
Hata battery za magari pia nyingi ni feki sana za kutoka Korea naona ndio zipo sawa.Kwa hapa Tanzania kuna brands nyingi za oil zinazotokea china yaani ni shida tupu hazina tofauti na hizi zinazotokea tabata dampo .
Brands zinazotokea UAE ndiyo zenye ubora Kwa mfano Castrol oil na Atlantic
Niamini mimi mkuu,jamaa wanaonunua oil chafu kwenye garages ndio hao hao ununua vile vidumu vya oil,siku hizi mafundi wakishammwagia oil mtu uhifadhi vidumu🤣🤣Hapana- oil Chafu inauzwa kwenye viwanda vya kuzalisha Nondo🤣 - Wananunua oil za jumla - ila wanna jijazia tu kwenye vidumu na kuweka lebo,Tatizo unanunua oil ya Paso kumbe kwenye kidumu wameweka oil ya Kifaru🤣🤣- oil zina kitu kinaitwa Viscocity (mnato) sasa Kuna tofauti ya oil ya Gari za Petrol na zile za Diesel. Unaweka kwenye Paso Oil ya Greda la Katapila kwa mfano. Engine lazima i rest in pieces 😀
Mkuu hivi unajua process za kutengeneza mineral oil na fully synthetic?Kama oil zina ubora unaokubalika sokoni, wawasaidie hao wapambanaji kuanzisha brand yao
Sasa kingereza chanini hapa... Hujui kiswahili au??We are talking about how often and common it is... acha kuleta majibu ya kizee hapa.
Na ndio maana gari zinakufa kwa kasi kubwa kwa sasa uhuni umekuwa mkubwa mimi kwa sasa oil nilienda kununua kwa toyota wenyewe kkoo wale wenye vibali wana bei lakini ni og filter tu ni 35000 ila mtaani filter 10k 5k unategemea niniWatu wanahakikisha wanatumia Total coz ndio brand inayouza sana kwa sasa. Inachakachuliwa sana, ila siku hizi hawatumii oil chafu, wanatumia oil za mapipa lita 100, wanafungasha kwenye lita moja moja.
Unaandikiwa 5w30, 10w40 etc kumbe umewekewa oil yenye viscosity tofauti kabisa.