Video: Wale Waliodai USA Hakuna Majizi ya Mali za Umma Kisa Wana Katiba Mnaitwa Huku

Video: Wale Waliodai USA Hakuna Majizi ya Mali za Umma Kisa Wana Katiba Mnaitwa Huku

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
My Take
Hakuna Nchi imewahi fanikiwa kupambana na rushwa Kwa 100%.
Screenshot 2025-02-04 112703.png



Ni ufisadi kwenda mbele 👇 👇

View: https://x.com/elonmusk/status/1888176132484211041?t=B6ACjCkp3ZcJ-bjPBv7gXw&s=19

Eti hao ndio wanazibia Nchi za Afrika ziache wizi.
 
Mkuu,

Unabase madai yako kutokana na tweet ya Alex Jones?
Huyu Alex Jones si ndiye yule alipigwa fine $bilioni 1 na mahakama kwa kusema mass shooting ya Sandy Hook ilikuwa ni igizo la FBI tu kutengeneza mazingira ya kunyang'anya raia bunduki zao?!
 
Hata mambo Mazuri ya Tanzania Bado hamtaki ku appreciate mkimaanisha Kila kitu ni hovyo and so tunawaonesha kwamba huko mnakodhani mambo yamenyooka hakuko hivyo.
Mkuu kwa Africa bado sana asee , ila siku moja tutakuja pata kiongozi makini atatufikisha panapotakiwa tu.
 
Back
Top Bottom