Video: Wale Waliodai USA Hakuna Majizi ya Mali za Umma Kisa Wana Katiba Mnaitwa Huku

Analeta ki tweet cha Alex Jones, inaonekana hamjui Alex Jones ni nani katika siasa za US.

Anaokoteza tweets tu kama masikini wa akili.
20250206_105529.jpg
 
Kwahiyo unataka kujifananisha na USA?
Brother/Sister hao wako mbali sana sana, hakuna namna yakujustify ujinga wetu eti kwasababu wao wanafanya ujinga.

Hawafikiria kujenga miundombinu tunayojenga, hawafikiria huduma za Afya tunazozifikiria, hawafikiria elimu tunayoifikiria, hawafikiria huduma za mama na mtoto tunazozifikiria, hawafikirii standard ya maisha tunayoifikiria nk.
Taifa ambalo raia wake maeneo/majimbo tofauti tofauti wanamiliki parking za ndege majumbani, nchi ambao raia wake wanamiliki private jets na yatch kama kitu cha kawaida, raia nk, nchi ambao raia wake usafiri wa ndege, barabara nk sio issue nk, nchi ambao raia wake wa kawaida anaweza kusafiri na familia abroad kufanya utalii nk.

Tuache kujidanganya na kujifariji, HAWA WANASIASA WETU NA WATAWALA HAWANA EXCUSE YA KUJITETEA NA HATUPASWI KUWATETEA ZAIDI YA KUWAPA PRESSURE WALETE NA MAENDELEO NA KUBORESHA MAISHA YA WATU.
 
Kupunguza ukali WA mada basi tusome, majambazi ya hapa kwetu yanaiga kuiba kutoka Marekani!
20250209_123302.jpg
 
Nchi ambayo wanawake wanalipwa pesa pungufu dhidi ya wanaume hata kama wanafanya kazi level moja.
 
We ongea ongea tu pumba humu bt katiba hii ya chama cha maccm lazma iondolewe lazma iondolewe katiba ya kumfanya rais ambaye ndiye mwenyekiti wa chama kuteua waamuzi kwenye uchaguzi haitakiwi kabisa unadhani hilo ndo litasababisha kutokuona umuhimu wa kuwa katiba mpya yale mabilion aliyopewa warioba serikali iliyatoa yann aisee taifa hili linachezewa sana na majizi maccm
 
Kama huko China ambapo ukikamatwa unanyongwa lakini ipo, ni zaidi ya US na nchi nyingine.
 
That's faux news.

Jamani, wengine hatukatai US kuna rushwa pia, lakini msilete sources za Alex Jones na Faux News basi.

Hivi nyie mnakaa wapi? Marekani au Kibada?

Wewe unakaa wapi?

Mnavyoweka sources za Alex Jones na Fox News mnajua Alex Jones ni nani na Fox News ni nini au mnaweka tu kwa ku Google?
 
Waeleweshe mkui hawa vijana wa Chizimkazi hawaelewi kabisa Alex Jones ni nani na Fox News na yupi yaan naona hapo wanachanganyakiwa kabisa sasa waelezee hawa vijana wa Chizimkazi kwamba Alex Jones ni huyu na Fox News ni yupi
 
Back
Top Bottom