Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Analeta ki tweet cha Alex Jones, inaonekana hamjui Alex Jones ni nani katika siasa za US.
Anaokoteza tweets tu kama masikini wa akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analeta ki tweet cha Alex Jones, inaonekana hamjui Alex Jones ni nani katika siasa za US.
Anaokoteza tweets tu kama masikini wa akili.
Kupunguza ukali WA mada basi tusome, majambazi ya hapa kwetu yanaiga kuiba kutoka Marekani!Kwahiyo unataka kujifananisha na USA?
Brother/Sister hao wako mbali sana sana, hakuna namna yakujustify ujinga wetu eti kwasababu wao wanafanya ujinga.
Hawafikiria kujenga miundombinu tunayojenga, hawafikiria huduma za Afya tunazozifikiria, hawafikiria elimu tunayoifikiria, hawafikiria huduma za mama na mtoto tunazozifikiria, hawafikirii standard ya maisha tunayoifikiria nk.
Taifa ambalo raia wake maeneo/majimbo tofauti tofauti wanamiliki parking za ndege majumbani, nchi ambao raia wake wanamiliki private jets na yatch kama kitu cha kawaida, raia nk, nchi ambao raia wake usafiri wa ndege, barabara nk sio issue nk, nchi ambao raia wake wa kawaida anaweza kusafiri na familia abroad kufanya utalii nk.
Tuache kujidanganya na kujifariji, HAWA WANASIASA WETU NA WATAWALA HAWANA EXCUSE YA KUJITETEA NA HATUPASWI KUWATETEA ZAIDI YA KUWAPA PRESSURE WALETE NA MAENDELEO NA KUBORESHA MAISHA YA WATU.
Kizimkazi hawezi kukuelewaKukopa , rushwa kujifananisha na US ila maendelea na fursa za ajira aaaaaah .
Mbinguni au?Nchi ambayo wanawake wanalipwa pesa pungufu dhidi ya wanaume hata kama wanafanya kazi level moja.
Analeta ki tweet cha Alex Jones, inaonekana hamjui Alex Jones ni nani katika siasa za US.
Anaokoteza tweets tu kama masikini wa akili
That's faux news.![]()
Dem congressman's charity has more than $30 million tied up in Cayman Islands funds
The foundation co-founded by Rep. Daniel Goldman's, D-N.Y., reported two investments worth a total of $32.2 million in funds based in the Cayman Islands, a popular tax haven.www.foxnews.com
Ni nani kizmkazi?Kizimkazi hawezi kukuelewa
My Take
Hakuna Nchi imewahi fanikiwa kupambana na rushwa Kwa 100%.
Ni ufisadi kwenda mbele 👇 👇
View: https://x.com/elonmusk/status/1888176132484211041?t=B6ACjCkp3ZcJ-bjPBv7gXw&s=19
Eti hao ndio wanazibia Nchi za Afrika ziache wizi.
FestivalNi nani kizmkazi?
Waeleweshe mkui hawa vijana wa Chizimkazi hawaelewi kabisa Alex Jones ni nani na Fox News na yupi yaan naona hapo wanachanganyakiwa kabisa sasa waelezee hawa vijana wa Chizimkazi kwamba Alex Jones ni huyu na Fox News ni yupiThat's faux news.
Jamani, wengine hatukatai US kuna rushwa pia, lakini msilete sources za Alex Jones na Faux News basi.
Hivi nyie mnakaa wapi? Marekani au Kibada?
Wewe unakaa wapi?
Mnavyoweka sources za Alex Jones na Fox News mnajua Alex Jones ni nani na Fox News ni nini au mnaweka tu kwa ku Google?
My Take
Hakuna Nchi imewahi fanikiwa kupambana na rushwa Kwa 100%.
Ni ufisadi kwenda mbele 👇 👇
View: https://x.com/elonmusk/status/1888176132484211041?t=B6ACjCkp3ZcJ-bjPBv7gXw&s=19
Eti hao ndio wanazibia Nchi za Afrika ziache wizi.
Punguzeni matarajio maana uhalisia hauko hivyoKwa hiyo tuachwe tuendelee kuiba tu mkuu?
My Take
Hakuna Nchi imewahi fanikiwa kupambana na rushwa Kwa 100%.
Ni ufisadi kwenda mbele 👇 👇
View: https://x.com/elonmusk/status/1888176132484211041?t=B6ACjCkp3ZcJ-bjPBv7gXw&s=19
Eti hao ndio wanazibia Nchi za Afrika ziache wizi.
Ukiwa Duniani punguza matarajio,Dunia Haina Haki Ina fairnessAcheni upumbavu wa kuhalilisha ushetani wenu