Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Misaada misaaada DT kakataa mkuu vumilia tu na viviyuuu yako wala usilete chuki.Punguzeni matarajio maana uhalisia hauko hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misaada misaaada DT kakataa mkuu vumilia tu na viviyuuu yako wala usilete chuki.Punguzeni matarajio maana uhalisia hauko hivyo
Mama anaendelea kuuza mali ya nchi kwa marafiki zake.MKATABA MWINGINE BANDARINI NA MISRI WAZUA TAHARUKI YA CHINI KWA CHINI!
Ndugu Watanzania!
Tumepata taarifa kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Chuo cha Arab Academy for Science Technology and Maritime Transport (AASTMT) cha Misri wametia sahihi makubaliano ya kushirikiana kutoa mafunzo ya shughuli za kibandari kwa Wafanyakazi.
Kwa mujibu wa taarifa hizo,makubaliano hayo, Tanzania kupitia TPA itapeleka watumishi wake kusoma Misri. Hii haitakuwa scholarships, bali Tanzania itakuwa ikilipia watu wake ada. Hata hivyo, makubaliano hayo yamezua mjadajala mzito miongoni mwa wadau ambao ni pamoja na manahodha wa meli, wahandisi wa meli na wahadhiri katika Chuo cha Ubaharia Tanzania yaanjli Dar es Salaam Maritime Institute (DMI) ambacho hutoa kozi hizo wakidai kuwa hiyo ni njia ya kukihujumu Chuo hicho. Baadhi ya hoja zao ni hizi:
Matumizi mabaya ya Fedha: Kutuma watumishi nje ya nchi kutagharimu fedha nyingi ambazo zingeweza kuwekezwa katika Chuo cha DMI ili kukiimarisha zaidi.
Kudhoofisha na kudhalilisha vyuo vya ndani: Hatua hiyo itaidhoofisha DMI na kufifisha zaidi ukuaji wake.
Kutelekeza Uchumi wa Blue: Kuimarisha vyuo vya ndani kunaiweka vizuri Tanzania katika kuinua rasilimali za Baharini.
Kukosekana kwa uwazi wa mchakato huo: Kwa kuwa mchakato huo haukuwa wa wazi, kuna maswali kuhusu kama uamuzi huo umebeba manufaa ya umma au una manufaa binafsi.
Wadau wanapendekeza kuwa:
TPA iwekeze zaidi katika Chuo chetu cha DMI kwa kuboresha na kuimarisha mitaala na kama itawezekana kuwaalika wakufunzi kutoka nje ya nchi ili kushusha gharama za Tanzania kupeleka watumishi wake nje. Njia nyingine ni kupeleka kusomesha wahadhiri kwa kozi ambazo hazipo nchini ili wakirudi waanzishe kozi hizo hapa Chuoni kwetu au pia kusomesha wahadhiri nje kwa kozi za PhD.
Wadau wanashangaa uamuzi wa TPA kupeleka vijana kusoma Uhandisi wa Meli nchini Misri wakati DMI ipo na inaheshimika sana hata nchi za Afrika Magharibi wanataka kuja kusoma DMI lakknky TPA wanaona Chuo hiki hakina maana.
Hata hivyo, kwa kuwa wadau hao wengi wao ni waajiriwa wa Serikali wanaogopa kujadiliana kwa uhuru na uwazi huku wengi wakitumiana ujumbe wa maandishi hata kupigiana simu.
Sisi Askofu Mwamakula tulipopata taarifa hizi kupitia kwa mmoja wa wastaafu tumeona ya kuwa ni vizuri tuweke hadharani jambo hili ili kuwapa uhuru wadau kuliweka andiko hili huko katika makundi yao sogozi.
Pamoja na hayo, kwa kuwa baadhi wamehoji juu ya uwazi wa mchakato huo makubaliano hayo, tunashauri mchakato huo uchunguzwe kama ulikidhi vigezo kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu kuhusu masuala ya mikataba na nchi au taasisi za kimataifa. Je, kama wadau wakuu wanahoji makubaliano hayo, ni nani aliyeshiriki katika kushauri juu ya jambo hilo?
Je, kulikuwa na ushirikishwaji wowote? Ni nani alihusika kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu hili? Je, kuna shida gani ilijitokeza katika Chuo chetu cha DMI hadi tuingie mikataba ya kutaka kusomesha watumishi katika fani ambazo zipo DMI? Je, mkataba unaeleza ni fani gani na kwa ngazi gani za kusomesha watu kule Misri? Je, mkataba huo unatoa kipindi cha muda gani? Je, mkataba huo unaweza kuwekwa hadharani kwa wadau ili waweze kuusoma na kuuelewa?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 3 Februari 2025; saa 5:20 usiku
Huyu fala huwa anafananisha nchi yake na US karibu kwenye kila jambo bila grounds zozote za maana.Yani tunajifananisha na US kwa mambo ya ovyo yale mazuri tunayapotezea kwanini?
Maelezo meeengi ila kinachokusumbua wewe ni entitlement kwamba kusaidiwa ni haki yako ya msingi kwa sababu wewe ni masikini unatoka bara giza...si ndio?Naomba nikwambie tu kwamba USAID siyo wezi wala wabadhirifu. USAID ni kama DANIDA, DFID, SIDA, NORAD au mashirika mengine ya maendeleo yaliyopo kwenye nchi ya dunia ya kwanza. Hao wanaosema ni USAID ni criminal organization siyo kwamba wanawapenda. Huyo Elon Musk ambaye ni kaburu tangu lini anawapenda? Anazo chuki tangu Apartheid ilivyokomeshwa huko Afrika kusini, Elon Musk ni far-right wing kama alivyo Donald Trump, Stephen Miller, Stephen Bannon na wengine wenye misimamo mikali dhidi ya nchi za Africa na latin America, wamejaa chuki sana. Haya yote yanayotokea ni mambo ya kupangwa na hayafanyi sense hata kidogo. Mnakumbuka Trump na makamu wako JD Vance walisema Haitian Immigrants walioko Ohio wanakula pets (Mbwa na Paka), je walivyoulizwa watu waliopoteza mbwa au paka wajitokeze....Je alijitokeza hata mtu mmoja?.....Hapana. Lengo ni kuwabagua na kuwa-victimized watu weusi na wenye asili ya kutoka Africa,. Trump hakusema nchi za Africa ni shitholes....au hamkumbuki? Mnaona anawapenda sana....siyo? Subirini.
Huyo Elon Musk ambaye ni Republican amemjaza Trump ujinga kuwa wazungu wamenyang'anywa mashamba yao kule Africa kusini.......Lengo lake Africa kusini iwekewe vikwazo, na kweli ameweza, South Africa misaada yote imekatwa, na Trump amesema bado. Huyo Elon Musk ni Evil...tena shetani mkubwa, ana nia mbaya na nchi yake aliyozaliwa na chuki hii ni racism, siyo kitu kingine. Hawakupenda Nelson Mandela awe rais wa SA (Someni historia ya Elon Musk). Amebakiza sisi Tanzania misaada yote itaondoka....Si mlimkatalia Starlink isianze???? Tutaona joto ya jiwe.
Hakuna asiyejua jinsi USAID ilivyosaidia watu wengi duniani, lakini huyo Trump kwa sababu anajua wengi wa wanaofaidika na misaada hiyo wanatoka Africa na Latin America ameamua kuiondoa bila sababu ya msingi, ingekuwa wazungu wenzake wana shida, hiyo USAID ingeendelea kuwepo.
Elon Musk ana roho chafu na ndiyo wamekutana na Trump, watu wengi USA wamepoteza kazi wala hawajali....Hivi huyo hana experience na kazi na hajawahi kuajiriwa serikalini anawezaje kupewa kitengo cha DOGE- Department of Government efficiency, acheni utani ninyi?
Siwezi kusema Elon Musk ni member wa White Supremacist lakini kutokana na tabia yake, huwezi kuacha kumfikiria kuwa yeye yuko huko.
Unaongea upumbavu wewe kwa sababu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, suala la misaada siyo Tanzania peke yake inapewa misaada. Unasema bara la giza, vipi Israel inayosaidiwa hadi leo na uwezo wake wote mkubwa? Sina cha kufanya kuhusu Trump, ila nina uwezo wa kutompigia kura kuonyesha hasira zangu. Ungejua ni ndugu wangapi wamepoteza kazi USAID ungenyamaza, wewe hujui kitu unaongea tu. Ongea kiswahili kizuri wewe kwanza, "HAMKENI" unaongelea nini kwanza. Siyo shabiki wa misaada lakini sipendi anachofanya Trump na huyo kaburu anayepinga sera ya ardhi ya SA, wewe kama akili zako zipo sahihi unaona ni sawa asilimia 87 ya wananchi wa SA wamiliki asilimia 7 ya ardhi yote wakati asilimia 9 wamiliki asilimia 93, Una akili ya kutosha kweli.Maelezo meeengi ila kinachokusumbua wewe ni entitlement kwamba kusaidiwa ni haki yako ya msingi kwa sababu wewe ni masikini unatoka bara giza...si ndio?
Sasa kuliko kufuga hizo chuki ulizonazo dhidi ya Trump na Elon Musk(kwanza hata ukiwachukia huna cha kuwafanya) sababu tu umekatiwa misaada, ni muda wewe kuiwajibisha serikali ikupe huduma zile ulizokuwa unapewa na USAID.
Ni upumbavu kumlaumu Trump na DOGE kwa wewe afrika kwa hich kinachoendelea sasa, hamkeni kutoka usingizini na misaada ina mwisho wake na mwisho wake ndio huu.
Unaandika kwa maandishi makubwa kuonesha msisitizo utafikiri labda unaandika kitu cha maana kumbe unaandika upumbavu ule ule na kujiliza liza kama kifaranga cha kuku kilichotelekezwa.Unaongea upumbavu wewe kwa sababu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, suala la misaada siyo Tanzania peke yake inapewa misaada. Unasema bara la giza, vipi Israel inayosaidiwa hadi leo na uwezo wake wote mkubwa? Sina cha kufanya kuhusu Trump, ila nina uwezo wa kutompigia kura kuonyesha hasira zangu. Ungejua ni ndugu wangapi wamepoteza kazi USAID ungenyamaza, wewe hujui kitu unaongea tu. Ongea kiswahili kizuri wewe kwanza, "HAMKENI" unaongelea nini kwanza. Siyo shabiki wa misaada lakini sipendi anachofanya Trump na huyo kaburu anayepinga sera ya ardhi ya SA, wewe kama akili zako zipo sahihi unaona ni sawa asilimia 87 ya wananchi wa SA wamiliki asilimia 7 ya ardhi yote wakati asilimia 9 wamiliki asilimia 93, Una akili ya kutosha kweli.
Batanzanie baione hii🤜🤛Naomba nikwambie tu kwamba USAID siyo wezi wala wabadhirifu. USAID ni kama DANIDA, DFID, SIDA, NORAD au mashirika mengine ya maendeleo yaliyopo kwenye nchi ya dunia ya kwanza. Hao wanaosema ni USAID ni criminal organization siyo kwamba wanawapenda. Huyo Elon Musk ambaye ni kaburu tangu lini anawapenda? Anazo chuki tangu Apartheid ilivyokomeshwa huko Afrika kusini, Elon Musk ni far-right wing kama alivyo Donald Trump, Stephen Miller, Stephen Bannon na wengine wenye misimamo mikali dhidi ya nchi za Africa na latin America, wamejaa chuki sana. Haya yote yanayotokea ni mambo ya kupangwa na hayafanyi sense hata kidogo. Mnakumbuka Trump na makamu wako JD Vance walisema Haitian Immigrants walioko Ohio wanakula pets (Mbwa na Paka), je walivyoulizwa watu waliopoteza mbwa au paka wajitokeze....Je alijitokeza hata mtu mmoja?.....Hapana. Lengo ni kuwabagua na kuwa-victimized watu weusi na wenye asili ya kutoka Africa,. Trump hakusema nchi za Africa ni shitholes....au hamkumbuki? Mnaona anawapenda sana....siyo? Subirini.
Huyo Elon Musk ambaye ni Republican amemjaza Trump ujinga kuwa wazungu wamenyang'anywa mashamba yao kule Africa kusini.......Lengo lake Africa kusini iwekewe vikwazo, na kweli ameweza, South Africa misaada yote imekatwa, na Trump amesema bado. Huyo Elon Musk ni Evil...tena shetani mkubwa, ana nia mbaya na nchi yake aliyozaliwa na chuki hii ni racism, siyo kitu kingine. Hawakupenda Nelson Mandela awe rais wa SA (Someni historia ya Elon Musk). Amebakiza sisi Tanzania misaada yote itaondoka....Si mlimkatalia Starlink isianze???? Tutaona joto ya jiwe.
Hakuna asiyejua jinsi USAID ilivyosaidia watu wengi duniani, lakini huyo Trump kwa sababu anajua wengi wa wanaofaidika na misaada hiyo wanatoka Africa na Latin America ameamua kuiondoa bila sababu ya msingi, ingekuwa wazungu wenzake wana shida, hiyo USAID ingeendelea kuwepo.
Elon Musk ana roho chafu na ndiyo wamekutana na Trump, watu wengi USA wamepoteza kazi wala hawajali....Hivi huyo hana experience na kazi na hajawahi kuajiriwa serikalini anawezaje kupewa kitengo cha DOGE- Department of Government efficiency, acheni utani ninyi?
Siwezi kusema Elon Musk ni member wa White Supremacist lakini kutokana na tabia yake, huwezi kuacha kumfikiria kuwa yeye yuko huko.
Mpumbavu mkubwa wewe unayenuka mavi. FALA WEWE HUNA AKILIUnaandika kwa maandishi makubwa kuonesha msisitizo utafikiri labda unaandika kitu cha maana kumbe unaandika upumbavu ule ule na kujiliza liza kama kifaranga cha kuku kilichotelekezwa.
Una question uwezo wangu wa kufikiri halafu hapo hapo unaletea hoja dhaifu kutetea hiyo misaada, mssenge kweli wewe na mentality yako tegemezi ya kimasikini..!!
Wewe ni Mpumbavu tena saana na kwa bahati mbaya hujijui kama wewe ni Mpumbavu bali unajiona una akili, ungekuwa una akili hata kidogo ungeelewa kwa clearance inayofanywa na DOGE suala la watu kupoteza ajira halikwepeki maana humo humo kwenye hizo ajira ndio mahali pesa ilipokuwa inapotelea na ndio maana mpaka watu wana iterm kama money laundering scheme, mfano kama kule Afghanistan kuna miradi ilikuwa inafadhiliwa na USAIDS kipindi cha Obama ambapo zaidi ya $400m zilitumika kuwapa wafanyakazi hewa zaidi 2,000. Sasa kubaini upotevu/ubadhirifu mkubwa kama huu wewe unafikiri unaweza ukafanyika bila kuathiri ajira za watu?
Kwa hiyo wewe huko much concerned na watu kupoteza ajira kwenye taasisi hata kama ina madudu kibao ambayo yanahitaji kuondelewa kwa ustawi wa taasisi yenyewe? Naamini kabisa wewe ni mmoja wa wale wajinga waliokuwa wanamlaumu Magufuli kipindi kile anaondoa watumishi hewa serikalini... maana huna akili na una makamasi kichwani fala wewe.
Nenda kawambie hao ndugu zako waliopoteza ajira waache kumlaumu Trump maana amefanya vile kwa ustawi wa Taifa lake hili pesa za walipa kodi wa marekani azipeleke kwenye matumizi sahihi na sio kuleta huku kwa nyie watu wa bara la giza mnaoishi kwa kutegemea vya watu miaka nenda miaka rudi... wapumbavu nyiee
Na kuhusu suala la misaada asilimia kubwa wanaolalamika ni nyie waafrika maana ndio mnaoathirika zaidi... ni kwa nini hujaskia nchi kama Singapore au South Korea au Greenland wakilalamika kuhusu kusitishwa kwa hiyo misaada ya USAID?
Ni muda sasa wewe na waafrika wenzako wajinga kama wewe mtoke usingizini na kujua sasa ni wakati wa kujifunza kujitegemea kwenye sectors zote muhimu.. misaada ina mwisho wake.
unanikosoa makosa yangu ya kisarufi na wakati wewe hapo ulipo unaonekana hata shule tu huna ni ngumbaru mmoja hivi usiokuwa na maarifa yoyote, eti "sina cha kumfanya Trump ila nitamuonesha hasira zangu kwa kutompigia kura"... mshamba mkubwa wewe ni nani aliyekwambia Trump atahitaji tena kura yako? Kwamba kwa ufinyu wako wa fikra unachojua ni kwamba Trump atagombea tena sio? Mbuzi kabisa wewe rudi bandana huko.
Na pia ungekuwa unajua history na uhusiano/undugu wa Marekani na Israel tangu enzi za holocaust sidhani kama hata ungeshangaa kuona Trump akiruhusu Misaada iendelee kupelekwa Israel... ila kwa sababu akili Huna, maarifa huna Acha ubaki hivyo hivyo na upumbavvu wako kinabo.
Umekaa hapa umekaza pumbu kumlaumu Trump na kujenga Chuki kisa kusitishiwa misaada badala ya kuiwajibisha serikali yako iliyoshindwa, majitu kama wewe bure ufe tu ni hasara kwanzia kwa familia yako mpaka kwa Taifa.
Suala la kuondoa ufisadi 100 % halipo muhimu minkudhibiti basi angalau 80% jambo liende sasa sie huku 20%ndio linatekelezekaHata mambo Mazuri ya Tanzania Bado hamtaki ku appreciate mkimaanisha Kila kitu ni hovyo and so tunawaonesha kwamba huko mnakodhani mambo yamenyooka hakuko hivyo.
Tanzania tuko Juu ya Nchi zote za EAC except Rwanda at more than 70%Suala la kuondoa ufisadi 100 % halipo muhimu minkudhibiti basi angalau 80% jambo liende sasa sie huku 20%ndio linatekelezeka
Kummma la bibi yako, unatia nuksi tu kwenye jamii huna faida yoyote, bure ufe tu mbwaa wewe.Mpumbavu mkubwa wewe unayenuka mavi. FALA WEWE HUNA AKILI
Wewe ni maskini wa akili, hujui unachofanya, sasa unatukana matusi umefanikiwa kitu gani? Wewe hujui unachoongea, na una matatizo ya akili. Nakuripoti kwenye jamiiforums.Kummma la bibi yako, unatia nuksi tu kwenye jamii huna faida yoyote, bure ufe tu mbwaa wewe.
Eti unaumizwa na watu kukosa ajira baada ya USAID kufungwa, mjinga sana wewe... angalau hata ungesema uko much concerned na kuadimika kwa ARVS mitaani maana ni mamilioni ya watu maisha yao yako hatarini sasa, hapo ungeonekana una utu. Lakini eti unawasikitikia watu waliopoteza ajira? Serious? Such a height of selfishness kwamba kwenye hili sakata zima wewe kilichokuumiza ni hao waajiriwa kukatiwa mirija yao ya ulaji tu?..kwani bila hizo ajira za USAIDS hawawezi kuishi?
Maskini wa akili na maarifa wewe, tofauti yako na mbwa kachoka ni kubweka tu...!! Mizigo kama wewe mnatumalizia oxygen tu