Video: Wale Waliodai USA Hakuna Majizi ya Mali za Umma Kisa Wana Katiba Mnaitwa Huku

Video: Wale Waliodai USA Hakuna Majizi ya Mali za Umma Kisa Wana Katiba Mnaitwa Huku

Msamehe hajui hata lugha unayo andika. Ni chawa, hajui hata kuchakata taarifa anachukua kama ilivyo
Analeta ki tweet cha Alex Jones, inaonekana hamjui Alex Jones ni nani katika siasa za US.

Anaokoteza tweets tu kama masikini wa akili.
 
My Take
Hakuna Nchi imewahi fanikiwa kupambana na rushwa Kwa 100%.

My Take
Hakuna Nchi imewahi fanikiwa kupambana na rushwa Kwa 100%.
Naomba nikwambie tu kwamba USAID siyo wezi wala wabadhirifu. USAID ni kama DANIDA, DFID, SIDA, NORAD au mashirika mengine ya maendeleo yaliyopo kwenye nchi ya dunia ya kwanza. Hao wanaosema ni USAID ni criminal organization siyo kwamba wanawapenda. Huyo Elon Musk ambaye ni kaburu tangu lini anawapenda? Anazo chuki tangu Apartheid ilivyokomeshwa huko Afrika kusini, Elon Musk ni far-right wing kama alivyo Donald Trump, Stephen Miller, Stephen Bannon na wengine wenye misimamo mikali dhidi ya nchi za Africa na latin America, wamejaa chuki sana. Haya yote yanayotokea ni mambo ya kupangwa na hayafanyi sense hata kidogo. Mnakumbuka Trump na makamu wako JD Vance walisema Haitian Immigrants walioko Ohio wanakula pets (Mbwa na Paka), je walivyoulizwa watu waliopoteza mbwa au paka wajitokeze....Je alijitokeza hata mtu mmoja?.....Hapana. Lengo ni kuwabagua na kuwa-victimized watu weusi na wenye asili ya kutoka Africa,. Trump hakusema nchi za Africa ni shitholes....au hamkumbuki? Mnaona anawapenda sana....siyo? Subirini.
Huyo Elon Musk ambaye ni Republican amemjaza Trump ujinga kuwa wazungu wamenyang'anywa mashamba yao kule Africa kusini.......Lengo lake Africa kusini iwekewe vikwazo, na kweli ameweza, South Africa misaada yote imekatwa, na Trump amesema bado. Huyo Elon Musk ni Evil...tena shetani mkubwa, ana nia mbaya na nchi yake aliyozaliwa na chuki hii ni racism, siyo kitu kingine. Hawakupenda Nelson Mandela awe rais wa SA (Someni historia ya Elon Musk). Amebakiza sisi Tanzania misaada yote itaondoka....Si mlimkatalia Starlink isianze???? Tutaona joto ya jiwe.
Hakuna asiyejua jinsi USAID ilivyosaidia watu wengi duniani, lakini huyo Trump kwa sababu anajua wengi wa wanaofaidika na misaada hiyo wanatoka Africa na Latin America ameamua kuiondoa bila sababu ya msingi, ingekuwa wazungu wenzake wana shida, hiyo USAID ingeendelea kuwepo.
Elon Musk ana roho chafu na ndiyo wamekutana na Trump, watu wengi USA wamepoteza kazi wala hawajali....Hivi huyo hana experience na kazi na hajawahi kuajiriwa serikalini anawezaje kupewa kitengo cha DOGE- Department of Government efficiency, acheni utani ninyi?

Siwezi kusema Elon Musk ni member wa White Supremacist lakini kutokana na tabia yake, huwezi kuacha kumfikiria kuwa yeye yuko huko.
 
My Take
Hakuna Nchi imewahi fanikiwa kupambana na rushwa Kwa 100%.
MKATABA MWINGINE BANDARINI NA MISRI WAZUA TAHARUKI YA CHINI KWA CHINI!

Ndugu Watanzania!
Tumepata taarifa kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Chuo cha Arab Academy for Science Technology and Maritime Transport (AASTMT) cha Misri wametia sahihi makubaliano ya kushirikiana kutoa mafunzo ya shughuli za kibandari kwa Wafanyakazi.

Kwa mujibu wa taarifa hizo,makubaliano hayo, Tanzania kupitia TPA itapeleka watumishi wake kusoma Misri. Hii haitakuwa scholarships, bali Tanzania itakuwa ikilipia watu wake ada. Hata hivyo, makubaliano hayo yamezua mjadajala mzito miongoni mwa wadau ambao ni pamoja na manahodha wa meli, wahandisi wa meli na wahadhiri katika Chuo cha Ubaharia Tanzania yaanjli Dar es Salaam Maritime Institute (DMI) ambacho hutoa kozi hizo wakidai kuwa hiyo ni njia ya kukihujumu Chuo hicho. Baadhi ya hoja zao ni hizi:

Matumizi mabaya ya Fedha: Kutuma watumishi nje ya nchi kutagharimu fedha nyingi ambazo zingeweza kuwekezwa katika Chuo cha DMI ili kukiimarisha zaidi.

Kudhoofisha na kudhalilisha vyuo vya ndani: Hatua hiyo itaidhoofisha DMI na kufifisha zaidi ukuaji wake.

Kutelekeza Uchumi wa Blue: Kuimarisha vyuo vya ndani kunaiweka vizuri Tanzania katika kuinua rasilimali za Baharini.

Kukosekana kwa uwazi wa mchakato huo: Kwa kuwa mchakato huo haukuwa wa wazi, kuna maswali kuhusu kama uamuzi huo umebeba manufaa ya umma au una manufaa binafsi.
Wadau wanapendekeza kuwa:

TPA iwekeze zaidi katika Chuo chetu cha DMI kwa kuboresha na kuimarisha mitaala na kama itawezekana kuwaalika wakufunzi kutoka nje ya nchi ili kushusha gharama za Tanzania kupeleka watumishi wake nje. Njia nyingine ni kupeleka kusomesha wahadhiri kwa kozi ambazo hazipo nchini ili wakirudi waanzishe kozi hizo hapa Chuoni kwetu au pia kusomesha wahadhiri nje kwa kozi za PhD.

Wadau wanashangaa uamuzi wa TPA kupeleka vijana kusoma Uhandisi wa Meli nchini Misri wakati DMI ipo na inaheshimika sana hata nchi za Afrika Magharibi wanataka kuja kusoma DMI lakknky TPA wanaona Chuo hiki hakina maana.

Hata hivyo, kwa kuwa wadau hao wengi wao ni waajiriwa wa Serikali wanaogopa kujadiliana kwa uhuru na uwazi huku wengi wakitumiana ujumbe wa maandishi hata kupigiana simu.
Sisi Askofu Mwamakula tulipopata taarifa hizi kupitia kwa mmoja wa wastaafu tumeona ya kuwa ni vizuri tuweke hadharani jambo hili ili kuwapa uhuru wadau kuliweka andiko hili huko katika makundi yao sogozi.

Pamoja na hayo, kwa kuwa baadhi wamehoji juu ya uwazi wa mchakato huo makubaliano hayo, tunashauri mchakato huo uchunguzwe kama ulikidhi vigezo kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu kuhusu masuala ya mikataba na nchi au taasisi za kimataifa. Je, kama wadau wakuu wanahoji makubaliano hayo, ni nani aliyeshiriki katika kushauri juu ya jambo hilo?

Je, kulikuwa na ushirikishwaji wowote? Ni nani alihusika kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu hili? Je, kuna shida gani ilijitokeza katika Chuo chetu cha DMI hadi tuingie mikataba ya kutaka kusomesha watumishi katika fani ambazo zipo DMI? Je, mkataba unaeleza ni fani gani na kwa ngazi gani za kusomesha watu kule Misri? Je, mkataba huo unatoa kipindi cha muda gani? Je, mkataba huo unaweza kuwekwa hadharani kwa wadau ili waweze kuusoma na kuuelewa?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 3 Februari 2025; saa 5:20 usiku
 
USAID HAPANA! HIYO MISAADA WAIONDOE TU.
KUNA LICHADEMA LIMOJA LIKO NGO YA NAFGEM LINATUMIA FEDHA ZA USAID KWENYE MAMBO YA KISIASA!
 
Back
Top Bottom