Video: Wale Waliodai USA Hakuna Majizi ya Mali za Umma Kisa Wana Katiba Mnaitwa Huku

Yani tunajifananisha na US kwa mambo ya ovyo yale mazuri tunayapotezea kwanini?
Hata mambo Mazuri ya Tanzania Bado hamtaki ku appreciate mkimaanisha Kila kitu ni hovyo and so tunawaonesha kwamba huko mnakodhani mambo yamenyooka hakuko hivyo.
 
Mkuu,

Unabase madai yako kutokana na tweet ya Alex Jones?
Huyu Alex Jones si ndiye yule alipigwa fine $bilioni 1 na mahakama kwa kusema mass shooting ya Sandy Hook ilikuwa ni igizo la FBI tu kutengeneza mazingira ya kunyang'anya raia bunduki zao?!
 
Hata mambo Mazuri ya Tanzania Bado hamtaki ku appreciate mkimaanisha Kila kitu ni hovyo and so tunawaonesha kwamba huko mnakodhani mambo yamenyooka hakuko hivyo.
Mkuu kwa Africa bado sana asee , ila siku moja tutakuja pata kiongozi makini atatufikisha panapotakiwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…