Video: Wamasai wazichapa tena na Walinzi (Wajeruhi)

Sijaelewa ulichokiandika hapa
 
Haya mambo ni embarassing tena mbele ya wageni. mpaka hao watasha ndio wameamua kuingilia kuamua ugomvi.

Sitaki kuwa upande wowote lakini nahisi wamasai nao wanaleta pigo za kidwanzi kuwashobokea hovyo kwa kuwasogelea/kuwafuatafuata wazungu ili kupata attention yao. nahisi hiyo sababu walinzi kuwaondoa. watalii hawapaswi kubugudhiwa kwa namna yoyote ile au kuanza kufwatafwata.
 
Sijaelewa ulichokiandika hapa
Huwezi kuelewa kama haujui kinachosababisha ugomvi wa masai na walinzi wa mahoteli, Huwezi kuelewa ikiwa hauko jirani na sector ya utalii hususani znz, huwezi kuelewa kama hajui sheria na miongozo ya kamisheni ya utalii znz inaelekeza nini. Huwezi kuelewa ikiwa hauelewi kundi kubwa la beach boys na beach girls wanatokea maeneo gani kwa wingi.

Hauwezi kuelewa ikiwa haujafika fukwe za Nungwi kuanzia Pwani mchangani na kuendelea, Hauwezi kuelewa ikiwa haujafika fukwe za Michamvi, Bwejuu, Paje, Jambiani, Kizimkazi na kwingineko. Na kama umefika na bado hujaelewa basi wewe utakuwa na shida mahali fulani upstairs.
 
Kaka hapa wacha tuambizane ukweli. nishawahi toka na wageni nikaenda nao zenji. wamasai wanashobokea hovyo watasha tena persistently. watasha hawapendi hizo sema wanavunga.

Busara itumike. nadhani ni elimu tu. kuwaongelea vibaya si kitu kizuri kwa ujumla wao. inaleta unyonge kwa kabila la wamasai as if kabila zima wana makosa.
 
Aliyewazingua ndio kapata mkong'oto...

Ukitazama video unakna kabisa Maasai hata hawadeal na wazungu wala mtu mwingine, maana unaona kuna wazungu wawili wameshuka ufukweni kuwatuliza munkari Maasai...
 
Na nyie huku bara mmejaa mnauza simu mbovu kkoo mmejaa na vihotel vyenu ila hamuoni kwamba mnatubana sisi tukiamua tuwakimbize bongo mtakuja kutulamba miguu.Kama kuna wabara wanatafuta maisha huko waacheni km tulivo waacha mtuuzie vifaa used mbofu mbofu huku bara
 
Kwani hawa wamasai wameanza kuuza shanga hapo zenj tarehe ngapi,mwezi wa ngapi na mwaka upi shekh??? mbona siku za nyuma kulikuwa hamna kelele kama izi!!! iko ivi, vijana wa kizanzbar wengi ni wavivu,kazi yao ni kusikiliza taarab na kuuza ngada huko beach,wengine wana imani kali za kiislam kiasi kumuudumia mtalii mwenye bikini wanaona ni kharam,then wakipewa shoo na madem wa kitasha bao moja tuutaskia YALAAAA!!then anajitupa pembeni kama bata,tofauti na wamasai!!!
 
Rais mwinyi utaenda kujibu nini kwa Mwenyezi Mungu! Nchi yenye idadi kubwa ya waislamu kwa maana ni nchi ya kiislamu, inakuwaje unaruhusu huu ushenzi/ufirauni watu wapo uchi! Nabi Muhammad S.A.W angekuwepo huu ufirauni usingekuwepo

Kuwa kiongozi ni dhima kubwa, Mwenyezi Mungu aniepushie mbali hata uongozi wa kata tu sihitaji!

Mleta mada, naomba ufute huu uzi wenye uchafu mwingi
 
Kama itakua sababu ya kuvunja muungano na uvunjike tuu itakua vizuri Sana wanywa urojo warudi kwao Kila mmoja achukue fito zake
 
Why you speak in parables? Spill the beans so we can understand the cause of the problem.
 
kaka hapa wacha tuambizane ukweli. nishawahi toka na wageni nikaenda nao zenji. wamasai wanashobokea hovyo watasha tena persistently. watasha hawapendi hizo sema wanavunga.
Kushobokea sio ishu maana wanatafuta pesa ,tatizo ni kuwazungumzia vibaya watu ...Jamii ya wamasai wanatembea na fimbo kama tamaduni hawana time na mtu ,Kila kona wapo hawana utaratibu wakupiga watu hovyo maana wangeshafukuzwa sehemu kibao haswa Nairobi,Kenya.

Jaalia watu wale waliofanya kosa pale Zanzibar maana hatujui wamechokozwa au laah, sasa inaleta unyonge kwa wamasai wote fikiria kabila lako au watu wa kwenu wanasemwa kama ujumla wakati tatizo limefanywa na watu wachache.

Huko Zanzibar wanachokifuata wamasai ni kama watu wengine wote kujipatia rizki...Hawa wamasai ni ndugu zetu sisi kama watanzania haina haja ya kuwazodoa kwa kabila lao.
 
Masai njoo upige virungu hii hamii urojo nyingine hapa
 
Kama itakua sababu ya kuvunja muungano na uvunjike tuu itakua vizuri Sana wanywa urojo warudi kwao Kila mmoja achukue fito zake
Kanchi kenyewe kadooooooooooooogo kama tako la mtoto mchanga lakini wanajiona wajaaanja huku,wakiwaona waarabu ndio ndogu zao kuliko sisi,,,waende wajiunge na afghanstan
 
umeandika kwa busara kaka.
kwenye hilo hata mimi naafiki kuzungumzia watu kwa ujumla wa kabila lao. nimekupata vema hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…