Video: WanaCCM wakiwa wamebebwa kwenye gari wakipelekwa kwenye mkutano

Video: WanaCCM wakiwa wamebebwa kwenye gari wakipelekwa kwenye mkutano

Wewe jamaa nimetambua ni kiazi sana na hauna impact yoyote kwa chadema. Watu wako field wenye uko bize mitandaoni...useless kabisa
Hakika wanaCCM wameendelea kujionesha kuwa wao ni bora liende. Haiwezekani mwanadamu unampakia kwenye usafiri wa kuhatarisha maisha yake kiasi hiki.

Wewe jamaa nimetambua ni kiazi sana na hauna impact yoyote kwa chadema. Watu wako field wenye uko bize mitandaoni...useless kabisa
Naona sasa tumeanza kuelewana kidooogoo, kidoooogoooo
 
Wewe jamaa nimetambua ni kiazi sana na hauna impact yoyote kwa chadema. Watu wako field wenye uko bize mitandaoni...useless kabisa
Mimi nipo 'field' na bado nipo mtandaoni , kuwa 'field' hakunizuii nisishike simu yangu na ku- login kwenye social and political platforms.

Hoja yako ni ya 'kijuha' sana mkuu!
 
Attachments

  • IMG_-rw8neg.jpg
    IMG_-rw8neg.jpg
    44.1 KB · Views: 2
Ni gari ya tani 40 ya kubeba mizigo. Je usafiri huu unarugusiwa kwa ajili ya abiria?
 
Attachments

  • IMG_5535.MP4
    1.1 MB
Back
Top Bottom