Video; Wanafunzi wakifanya mitihani wakiwa wameketi chini nje kwenye vumbi

Video; Wanafunzi wakifanya mitihani wakiwa wameketi chini nje kwenye vumbi

Mama anaupiga mwingi, Pongezi na shukrani kwa mhe, raisi dakitari mbobevu, aliyetamani kuwa muhudumu wa ndege ila akabahatisha urais baada ya genge msoga kumsucide gaidi shetani.

Hongera sana mama kwa kuwezesha wanafunzi hao kufanya mtihani wakiwa wamekaa .chini.

Mitano tena kwa mama
 
Kiongozi wetu anapenda mambo rahisi kama vile kusafiri huku na kule nje ya nchi, kwenda kwenye vishughuli vya mjini kama uzinduzi wa mziki na muvi N.K

Sijui hata kwanini anatamani kuendelea hiyo 2025?
 
Mama anaupiga mwingi,
Pongezi na shukrani kwa mhe, raisi dakitari mbobevu, aliyetamani kuwa muhudumu wa ndege ila akabahatisha urais baada ya genge msoga kumsucide gaidi shetani.
Hongera sana mama kwa kuwezesha wanafunzi hao kufanya mtihani wakiwa wamekaa .chini.
Mitano tena kwa mama
😄😄😄
 
Mitano tena kwa
Hii mbona kama kejeri anyway waelewa tumeelewa nini unamaanisha wenyewe wanita fagilia na kusiliba
 
GO-2k8xWoAAaf24.jpeg
 
Me nadhani wamekaa hivyo ili wasiigiliziane kulikoni wangekaa kwenye madawati huenda wakaigiliziana. Halafu me sioni kama kunashida kukaa chini, unapotafuta kitu chenye mafanikio haiitaji starehe
Kwamba hakukuwa na namna bora ya kukaa darasani na wasiweze kuibiana hayo majibu?

Hata kama madarasa ni machache wangeliweza kufanya mtihani kwa shift na siyo kuwakalisha chini.

Okay tuamini basi kama hii story si ya kweli, basi wewe tuletee picha ya hali ya madawati darasani ktk shule hiyo maana tatizo la madawati ni kubwa sana kwa shule zetu.
 
Back
Top Bottom