Video; Wanafunzi wakifanya mitihani wakiwa wameketi chini nje kwenye vumbi

Video; Wanafunzi wakifanya mitihani wakiwa wameketi chini nje kwenye vumbi

Ipo uelewa unaosema, usisiemu huzaa ujinga, ujinga hutunga mimba ya umbumbu, umbumbu huzaa utahira, utaahira ukiisha kukomaa, huzaa dhambi, dhambi hupelekea fedhea, fedhea ikiisha kukomaa huwa UKATILI

Tozo hazijakoma, mkopo wa scotland ulichukuliwa kwaajili ya madarasa(kamili), bajeti ya elimu inasemaje? Sensa zinafanyika ili iwe nini?
  • Sio shule moja, ziko nyingi!
  • Sio Singida tu, nenda kwa Nape, nenda Dar, kote hakuna madarasa ya hadhi ya 2024 wala madawati ya kukidhi mahitaji.

Umekaza shingo, SI KWELI?
UmejAA ujinga
 
Me nadhani wamekaa hivyo ili wasiigiliziane kulikoni wangekaa kwenye madawati huenda wakaigiliziana. Halafu me sioni kama kunashida kukaa chini, unapotafuta kitu chenye mafanikio haiitaji starehe
Akili hizi maendeleo yatachelewa Sana.
Kawaida kukaa kwenye vumbi ukiwa una andika?!
 
Me nadhani wamekaa hivyo ili wasiigiliziane kulikoni wangekaa kwenye madawati huenda wakaigiliziana. Halafu me sioni kama kunashida kukaa chini, unapotafuta kitu chenye mafanikio haiitaji starehe
Wewe una tatizo mkuu, yaani karne hii unatoa hizo sababu kujustify watoto kufanyia mtihani kwenye hayo mazingira? Tena unasema huoni kama kuna shida? Basi safari bado ndefu sana sana.
 
Kwani umeambiwa hawana madawati...!?

Hiyo ni mbinu ya walimu kila mmoja ajitegemee...
Walimu wamebwinu mbunu..

Anyway! Hata kama ni mbinu lakini si rafiki Kwa maendeleo Bora ya kielimu.
 
Back
Top Bottom