Video; Wanafunzi wakifanya mitihani wakiwa wameketi chini nje kwenye vumbi

Huo unaonesha kuwa ni ujinga wa walimu tu kuwaweka watoto nje tena chini, si wangewaambia wapange ma deski yao.

Hao walimu wao ndiyo wale waliosomea ujinga shuleni na sasa wanauhamishia huo ujinga wao kwa hao wanafunzi.

Hao walimu ni wa kuchukuliwa hatua za kibabbe tu, hawafai kubali kuwa walimu.
 
Madesk yapi na shule haina madarasa.Ukiona hivyo walimuwamefika mwisho hawana namna.

Aibu yenu CCM
 
Huo unaonesha kuwa ni ujinga wa walimu tu kuwaweka watoto nje tena chini, si wangewaambia wapange ma deski yao.

Hao walimu wao ndiyo wale waliosomea ujinga shuleni na sasa wanauhamishia huo ujinga wao kwa hao wanafunzi.

Hao walimu ni wa kuchukuliwa hatua za kibabbe tu, hawafai kubali kuwa walimu.
Sioni shida kabisa hapoo...!🤷
 
Back
Top Bottom