Video; Wanafunzi wakifanya mitihani wakiwa wameketi chini nje kwenye vumbi

UmejAA ujinga
 
Me nadhani wamekaa hivyo ili wasiigiliziane kulikoni wangekaa kwenye madawati huenda wakaigiliziana. Halafu me sioni kama kunashida kukaa chini, unapotafuta kitu chenye mafanikio haiitaji starehe
Akili hizi maendeleo yatachelewa Sana.
Kawaida kukaa kwenye vumbi ukiwa una andika?!
 
Me nadhani wamekaa hivyo ili wasiigiliziane kulikoni wangekaa kwenye madawati huenda wakaigiliziana. Halafu me sioni kama kunashida kukaa chini, unapotafuta kitu chenye mafanikio haiitaji starehe
Wewe una tatizo mkuu, yaani karne hii unatoa hizo sababu kujustify watoto kufanyia mtihani kwenye hayo mazingira? Tena unasema huoni kama kuna shida? Basi safari bado ndefu sana sana.
 
Kwani umeambiwa hawana madawati...!?

Hiyo ni mbinu ya walimu kila mmoja ajitegemee...
Walimu wamebwinu mbunu..

Anyway! Hata kama ni mbinu lakini si rafiki Kwa maendeleo Bora ya kielimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…