Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mabeberu wametengeneza hiyo video? Embu acha ushabiki usio na maana.HIzi ni war propaganda.
Western are good at it
Timu ProRussia kila habari mbaya kuhusu Urusi mnaita Propaganda za magharibi.Ila hizohizo media zikiongelea madhila yaliyoipata Ukraine mnashabikia kwamba ni kweli🤔HIzi ni war propaganda.
Western are good at it
Timu ProRussia kila habari mbaya kuhusu Urusi mnaita Propaganda za magharibi.Ila hizohizo media zikiongelea madhila yaliyoipata Ukraine mnashabikia kwamba ni kweli🤔
.....
“President Putin’s three-day war, or ‘special operation’, turns out to have been a disaster for him and his army.”
UK Defence Secretary Ben Wallace updates the House of Commons on the war in Ukraine:
Hauna tofauti na waliopokea tena wakalaani kuwa Iraq kulikuwa na silaha za maangamizi.Kwahiyo mabeberu wametengeneza hiyo video? Embu acha ushabiki usio na maana.
Wewe ni pro russiaSina maana kuwa mimi ni pro Russia.
Ninachofahamu ni kwamba western media ni waongo watukuka kama alivyosema Trump.
Tuwe wapatanishi na siyo wachochezi
Una mawazo ya ajabu sana, na hii inakuonesha kuwa una chuki dhidi ya west. Gadaffi alivamiwa, sote humu ndani tulipinga. Jambo lolote dhalimu sisi hatuliungi mkono, hata Russia kumvamia Ukraine hatuungi mkono pia.Hauna tofauti na waliopokea tena wakalaani kuwa Iraq kulikuwa na silaha za maangamizi.
Pia hauna tofauti na waliosema kuwa Gaddafi alikuwa amewafanya manamba raia wake.
Unajua. Tukisema tuunge mkono Urusi au Magharibi inatufanya sisi kuwa ni misukule yao.
Simama kwenye amani
Hawa ni walioponea kufa na kurudi Urusi, wamegoma hawarudi tena kwenye mapambano....
Kufanya hivyo ni kuweka rehani Urais wake.Putin akubali tu yeye sio wa kwanza kushindwa
Anything is possibleKwahiyo mabeberu wametengeneza hiyo video? Embu acha ushabiki usio na maana.