mika micah
Senior Member
- Dec 25, 2015
- 183
- 277
Nikiitwa mjinga silaumu kwa kweli! maana nabishana na mtu anayejua propaganda ni video za kutengenezwa!Ulivyojibu ndo umezidi kujiexpose kuwa una fikra mgando.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiitwa mjinga silaumu kwa kweli! maana nabishana na mtu anayejua propaganda ni video za kutengenezwa!Ulivyojibu ndo umezidi kujiexpose kuwa una fikra mgando.
Nakubaliana na wewe, senior officers wa serikali ya Russia yamkini hawataki kabisa kuendelea na hii vita. Ngoma imebuma vibaya saaana kwa Putin, heshima alojiwekea yoye imepukutika. Lile jeshi lilisifiwa kwa miaka mingi, lote amelishushia heshima yake.[emoji23][emoji23]Hii vita ni faida tupu kwa US na washirika wake wa NATO..
1. Kapata nafasi ya kummdhoofisha urusi kazi ambayo angeifanya kwa kuhangaika na kwa muda mrefu ila imefanyika ndani ya miezi 9 tu.
2. Kapata field halisi (siyo jangwani wala baharini tena) ya kutest mitambo yake.
3. Kapata nafasi ya kujua uwezo halisi wa Putin kijeshi.
Ni mbaya sana wanajeshi wako kukataa kupigana, tena hao ni wale wadogo ila kule juu kwa majenerali huenda hali ni mbaya zaidi na wanauza siri kimya kimya.
Kwenye hii vita Putin kaonesha kwamba yeye ni mbumbumbu hasa!
Tena hiyo nuclear yamkini putin ndo anaitaka ila maafisa waandamizi wanamdindia. Maisha matamu mkuu.Sio kila amri unatii, inaruhusiwa kughairi kama amri ina ukichaa, leo hii Putin aibuke ghafla atoe amri ya kushambulia Ulaya kwa manyuklia, nakuhakikishia atapigwa risasi na mejenerali wake maana wananajua kitakachofata ni Urusi kufutwa kwenye uso wa dunia.
Wape darasa vilaza hao. Wasipoelewa wachape na vibao.Kama hujui jambo Bora unyamaze. Si kila amri zinazotolewa na Rais kwa majeshi lazima zitekelezwe. Rais akikurupuka bila kufuata utaratibu hawawezi kutekeleza amri yake. Rais hutoa amri kwa majeshi kwa utaratibu maalum, ni baada ya Baraza la usalama kuidhinisha ndo atatoa amri ya hali ya hatari au vita. Mambo mengine huitaji kuridhiwa na bunge ndo utekelezaji wake uanze.
At individual capacity mwanajeshi anaweza kukataa kwenda vitani na akatoa sababu zake za msingi. Hawezi kupigwa shaba, bali utapelekwa court marshal na utahukumiwa kwa mujibu wa taratibu za kijeshi ikiwemo kufukuzwa kazi na siyo kuuawa kama unavyodai.
Makosa ya kupigwa risasi labda kama unataka kupindua nchi, na yanayoendana na hayo.
Yamkini ndo maana vifo vimekuwa ni vingi mno, watu hawataki kwenda vitani.Duh; a gololi is approximately equivalent to a risasi. So unazungmzia almost risasi 180,000 at par tena zikiwa na kinetic energy ya ajabu. Hatari sana!
Walivyo vichwa maji, walidhani HIMARS ni aina ya Gobore 😂😂😂 ndiyo maana walisema haiwezi kuikomboa nusu ekari.Mashabiki wa putin humu ndani mwanzo wa vita walisema HIMARS si kitu, wakasema haiwezi kukomboa hata nusu heka.
Leo hii kinachoendelea huko kinatisha.
Lilikuwa jitu la hovyo mnoTuna upeo unaofanana. Licha ya kumpamba kooote Jiwe, hakuna Rais nliyemuona mkatili na asiye na akili hata chembe kama jamaa.
Yes, ili wamdhoofishe kiuchumi na kijeshi baadae ndo wamgonge vizuri. Walimsubiri siku nyingi mno ili aingie kwenye 18 zao. Kashanasa.Na hawawezi kuzipeleka wale, walisema wanataka kuona vita ikichukua muda mrefu zaidi.
Zilipigwa propaganda nyingi kweli kuwa Russia ina;Nakubaliana na wewe, senior officers wa serikali ya Russia yamkini hawataki kabisa kuendelea na hii vita. Ngoma imebuma vibaya saaana kwa Putin, heshima alojiwekea yoye imepukutika. Lile jeshi lilisifiwa kwa miaka mingi, lote amelishushia heshima yake.
Hili linapaswa kuangaliwa upya, kuna viongozi walevi wanaotoa amri za vita bila sababu za msingi. Viongozi wa namna hii either wapinduliwe au waongoze mstari wa mbele kwenye vita.Bila shaka hujawahi kupitia hata jkt. Oh sawa nikueleweshe. Jeshi huapa kulinda katiba, kumlinda Rais, na kulinda ardhi na maslahi ya taifa popote. Pia huapa kupokea amri kutoka kwa rais wao muda wote wa utumishi.
Ni kosa la jinai kukataa kupigana inapotolewa amri na mkuu wa nchi. Eti ukatae kupigana kisa familia yako ataitunza Nani ukifa?
Nb.
Kijeshi Hili lipo kote kukataa kupigana kosa lake Ni shaba iwe ulaya, Marekani au Iran.
Tunawezaje kuthibitisha hiyo video?Jina ni la kuigiza,sura imefichwa lakini pia sauti iliyotumika ni ya muigizaji!
Akili Yako ndogo sana!Karibu sana kwenye jukwaa, maustadhi mlitoweka wengi ghafla tukawa tunatamba wenyewe humu. Nafurahi mumeanza kurudi mmoja mmoja, sijui nini kimewapa kujiamini ghafla tena.
Eastern media ndio zinaongoza kwa uongo na propaganda,manake kule ukiongea kinyume na mtawala umekwenda na maji.Hivi utaanzia wapi kuandika Kinyume na Andunje au kiduku halafu ukaachwa?Jiwe mwenyewe (CCM ProRussia no.1) ilikuwa usipomsifu wasiojulikana lazima wapite na wewe.Sina maana kuwa mimi ni pro Russia.
Ninachofahamu ni kwamba western media ni waongo watukuka kama alivyosema Trump.
Tuwe wapatanishi na siyo wachochezi
SAsa anaepata madhara ni Rais,nchi au mwanajeshi husikaBila shaka hujawahi kupitia hata jkt. Oh sawa nikueleweshe. Jeshi huapa kulinda katiba, kumlinda Rais, na kulinda ardhi na maslahi ya taifa popote. Pia huapa kupokea amri kutoka kwa rais wao muda wote wa utumishi.
Ni kosa la jinai kukataa kupigana inapotolewa amri na mkuu wa nchi. Eti ukatae kupigana kisa familia yako ataitunza Nani ukifa?
Nb.
Kijeshi Hili lipo kote kukataa kupigana kosa lake Ni shaba iwe ulaya, Marekani au Iran.
Ni mke wangu pekee ananifahamu kwa undani.Eastern media ndio zinaongoza kwa uongo na propaganda,manake kule ukiongea kinyume na mtawala umekwenda na maji.Hivi utaanzia wapi kuandika Kinyume na Andunje au kiduku halafu ukaachwa?Jiwe mwenyewe (CCM ProRussia no.1) ilikuwa usipomsifu wasiojulikana lazima wapite na wewe.
Katika western media unaweza mpinga raisi aliyeko madarakani (rejea Trump alivyopingwa na vyombo vya habari)na bado ukapeta.
Kuhusu wewe kwamba wewe sio ProRussia ulivyoulivyo tu inaonyesha jinsi gani wewe ulivyo ProRussia Wahedi.Halafu Russia akichapika mnasema ,mnaomba poo tuache uchochezi tuwe wapatanishi,Ukraine akishambuliwa mnaona poa acha apigwe,yaani ni "Double Standard"🤔
Ha ha ha.Hili linapaswa kuangaliwa upya, kuna viongozi walevi wanaotoa amri za vita bila sababu za msingi. Viongozi wa namna hii either wapinduliwe au waongoze mstari wa mbele kwenye vita.