Video: Wanajeshi wa Urusi wapokea kichapo kwa kugoma kwenda kupigana Ukraine

Video: Wanajeshi wa Urusi wapokea kichapo kwa kugoma kwenda kupigana Ukraine

Ha ha ha.
Hilo halitakuwa jeshi litakuwa josho Kama wakuu wa kijeshi wanaamua kujadili amri ya babalao( kiongozi mkuu).
Kiongozi mkuu:
Nchi fulani Ni maadui zetu wanaendekeza chuki na uovu dhidi ya watu wetu. Ni muda wa kuhakikisha Hili linakoma.wapigwe.
Generali;
ndio mkuu
Masoja:
Oyaa oyaaa oyaa usiogope mkuu Hapa ngaingai .basi kinanuka.
Maana pana ya hiyo post ni kuwa, kutangaza vita isiwe ni kazi ya rais peke yake au na kikundi kidogo cha watu. Kukiwa na sababu halali za vita wala hazijifichi, huwa zinajieleza vizuri tu.
Hii tabia ya viongozi kutangaza vita bila sababu za msingi, huku mhusika na ndugu zake wakifuatilia vita hivyo kwenye TV, haipaswi kuendelea kuwepo.
 
Back
Top Bottom