Video: Wanajeshi wa Urusi wapokea kichapo kwa kugoma kwenda kupigana Ukraine

Video: Wanajeshi wa Urusi wapokea kichapo kwa kugoma kwenda kupigana Ukraine

Hahaha sie tunaowajua hao watu wa bbc na ulaya hiyo nikama movie ya terminator ya anord hakuna lolote hapo
 
Kwann ukafe kwa ujinga wa putin si apeleke watoto wake wakapigane. Ufe watoto wako atalea nani. Sometimes vita huwa ni matakwa ya kiongozi mpumbavu na sio uhitaji wa nchi.
Na ndio maana hata morale ya askari iko chini ukiringanisha na ya ukraine. Matakwa ya mtu mmoja yanaumiza sana.
 
Kwenda vitani ukiwa na uhakika wa kufa ni ujinga na upumbavu.

Kwanza huna silaha nzuri, huna mavazi ya kuzuia baridi, huna medical kit
Mbaya zaidi adui yako ana moto balaa, ana mashine za kisasa. Hiyo HIMARS unaambiwa ni balaa tupu, bado US hajapeleka F14, F18 au F35 huko.
 
Mbaya zaidi adui yako ana moto balaa, ana mashine za kisasa. Hiyo HIMARS unaambiwa ni balaa tupu, bado US hajapeleka F14, F18 au F35 huko.
Hizo zote ulizotaja sahau kuziona huko.

Ukraine atapewa F15/16 basi.
 
Heri ya kuachia ngazi ya Urais lakini sio kwa hiko anachofanya kugharimu taifa zima.
... Mkuu kuachia urais ni kujipa hukumu ya kifo mchana kweupe; haitakaa itokee. Usalama wake umo ndani ya hicho cheo na hapo ndipo ugumu ulipo.
 
Timu ProRussia kila habari mbaya kuhusu Urusi mnaita Propaganda za magharibi.Ila hizohizo media zikiongelea madhila yaliyoipata Ukraine mnashabikia kwamba ni kweli[emoji848]
.....
“President Putin’s three-day war, or ‘special operation’, turns out to have been a disaster for him and his army.”

UK Defence Secretary Ben Wallace updates the House of Commons on the war in Ukraine:
[emoji23][emoji23]Hii vita ni faida tupu kwa US na washirika wake wa NATO..

1. Kapata nafasi ya kummdhoofisha urusi kazi ambayo angeifanya kwa kuhangaika na kwa muda mrefu ila imefanyika ndani ya miezi 9 tu.

2. Kapata field halisi (siyo jangwani wala baharini tena) ya kutest mitambo yake.

3. Kapata nafasi ya kujua uwezo halisi wa Putin kijeshi.


Ni mbaya sana wanajeshi wako kukataa kupigana, tena hao ni wale wadogo ila kule juu kwa majenerali huenda hali ni mbaya zaidi na wanauza siri kimya kimya.
Kwenye hii vita Putin kaonesha kwamba yeye ni mbumbumbu hasa!
 
Kuna bomu fulani linarushwa na himars, hilo bomu lina vigololi 180,000

Lenyewe hulipuka 2m kabla ya kufika ardhini, kila kilicho eneo hilo huhalibiwa na hizo gololi
Linaitwaje hilo mkuu? Ni 2 miles au 2km?
 
Yaani watengeneze video namna hiyo hapo? Ukiitwa mjinga utalaumu?
Hajasema wametengeneza amesema ni propaganda. Inawezekana yote yariyolipotiwa yametokea kama yalivyo na bado ikabaki kuwa Propaganda

Propaganda ni information ambayo ipo biased na ina lengo la kupromote upande mmoja wa fikra. Kwa hio its not about what is reported but how it is reported ndio inadetrmine Propaganda.

Nilichogundua upo biased upande mmoja wa hii vita na ulivyoiona hio video ikahimarisha msimamo wako kuhusu upande uliopo na hilo ndio la Propaganda.

you are failing to see Propaganda kwenye hio video sababu tayari upo biased huwezi ku judge vitu objectively.

Ukiitwa una fikra mgando utalaumu?
 
Back
Top Bottom