Video: Wanajeshi wa Urusi wapokea kichapo kwa kugoma kwenda kupigana Ukraine

Nakubaliana na wewe, senior officers wa serikali ya Russia yamkini hawataki kabisa kuendelea na hii vita. Ngoma imebuma vibaya saaana kwa Putin, heshima alojiwekea yoye imepukutika. Lile jeshi lilisifiwa kwa miaka mingi, lote amelishushia heshima yake.
 
Tena hiyo nuclear yamkini putin ndo anaitaka ila maafisa waandamizi wanamdindia. Maisha matamu mkuu.
 
Wape darasa vilaza hao. Wasipoelewa wachape na vibao.
 
Tunawezaje kuthibitisha hiyo video?Jina ni la kuigiza,sura imefichwa lakini pia sauti iliyotumika ni ya muigizaji!
 
Mashabiki wa putin humu ndani mwanzo wa vita walisema HIMARS si kitu, wakasema haiwezi kukomboa hata nusu heka.

Leo hii kinachoendelea huko kinatisha.
Walivyo vichwa maji, walidhani HIMARS ni aina ya Gobore 😂😂😂 ndiyo maana walisema haiwezi kuikomboa nusu ekari.
 
Zilipigwa propaganda nyingi kweli kuwa Russia ina;
1. the best military in the world,
2. Ina best air defense systems eti S-400, lakini HIMARS anazibutua.
3. Ina nuclear weapons hatari, katishiwa kidogo tu na mzee Biden akapiga reverse.
4. Ana MLRS hatari, kumbe hakuna hata inayoifikia HIMARS.

Ni mtu mjinga tu ndo anaweza akalinganisha nguvu ya NATO & USA against Russia. Labda wale religious fanatics.
 
Hili linapaswa kuangaliwa upya, kuna viongozi walevi wanaotoa amri za vita bila sababu za msingi. Viongozi wa namna hii either wapinduliwe au waongoze mstari wa mbele kwenye vita.
 
Tunawezaje kuthibitisha hiyo video?Jina ni la kuigiza,sura imefichwa lakini pia sauti iliyotumika ni ya muigizaji!

Karibu sana kwenye jukwaa, maustadhi mlitoweka wengi ghafla tukawa tunatamba wenyewe humu. Nafurahi mumeanza kurudi mmoja mmoja, sijui nini kimewapa kujiamini ghafla tena.
 
Karibu sana kwenye jukwaa, maustadhi mlitoweka wengi ghafla tukawa tunatamba wenyewe humu. Nafurahi mumeanza kurudi mmoja mmoja, sijui nini kimewapa kujiamini ghafla tena.
Akili Yako ndogo sana!
 
Sina maana kuwa mimi ni pro Russia.

Ninachofahamu ni kwamba western media ni waongo watukuka kama alivyosema Trump.


Tuwe wapatanishi na siyo wachochezi
Eastern media ndio zinaongoza kwa uongo na propaganda,manake kule ukiongea kinyume na mtawala umekwenda na maji.Hivi utaanzia wapi kuandika Kinyume na Andunje au kiduku halafu ukaachwa?Jiwe mwenyewe (CCM ProRussia no.1) ilikuwa usipomsifu wasiojulikana lazima wapite na wewe.
Katika western media unaweza mpinga raisi aliyeko madarakani (rejea Trump alivyopingwa na vyombo vya habari)na bado ukapeta.
Kuhusu wewe kwamba wewe sio ProRussia ulivyoulivyo tu inaonyesha jinsi gani wewe ulivyo ProRussia Wahedi.Halafu Russia akichapika mnasema ,mnaomba poo tuache uchochezi tuwe wapatanishi,Ukraine akishambuliwa mnaona poa acha apigwe,yaani ni "Double Standard"🤔
 
SAsa anaepata madhara ni Rais,nchi au mwanajeshi husika
 
Ni mke wangu pekee ananifahamu kwa undani.

Are you?
 
Hili linapaswa kuangaliwa upya, kuna viongozi walevi wanaotoa amri za vita bila sababu za msingi. Viongozi wa namna hii either wapinduliwe au waongoze mstari wa mbele kwenye vita.
Ha ha ha.
Hilo halitakuwa jeshi litakuwa josho Kama wakuu wa kijeshi wanaamua kujadili amri ya babalao( kiongozi mkuu).
Kiongozi mkuu:
Nchi fulani Ni maadui zetu wanaendekeza chuki na uovu dhidi ya watu wetu. Ni muda wa kuhakikisha Hili linakoma.wapigwe.
Generali;
ndio mkuu
Masoja:
Oyaa oyaaa oyaa usiogope mkuu Hapa ngaingai .basi kinanuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…