Video: Wanajeshi wa Urusi wapokea kichapo kwa kugoma kwenda kupigana Ukraine

Maana pana ya hiyo post ni kuwa, kutangaza vita isiwe ni kazi ya rais peke yake au na kikundi kidogo cha watu. Kukiwa na sababu halali za vita wala hazijifichi, huwa zinajieleza vizuri tu.
Hii tabia ya viongozi kutangaza vita bila sababu za msingi, huku mhusika na ndugu zake wakifuatilia vita hivyo kwenye TV, haipaswi kuendelea kuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…