GE2025 Video: Wananchi wambeba juu juu Kigwangala alipofika jimboni kwake. Hizi kama sio drama ni nini?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Hivi ni lini sasa wanasiasa wa Kibongo watafahamu kwamba hizi drama zao tunazijua na kwamba zimeshapitwa na wakati

Mimi binafsi sijawahi kuona nchi zilizoendelea kama Marekani mwanasiasa anabebwa kama hivi. Kwanini hizi drama za wanasiasa kutaka kuonekana wanapendwa zinakuwa huku kwa Wamatumbi tu?

Hapa nadhani Hamis alikuwa yuko jimboni kwake huko Nzega

Huyo ndio waziri wako wa afya ama utalii baada ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom