Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Ni mitandao yote hata huko fb kumechafuka. Ukiingia TikTok huko ndo hakufai kabisa.Kuishi dar halafu uprove kama kweli mwanaume ni ngumu sana....
Juz apa nimeona kule X wanaume wanabishana eti wanaviuno vizuri vya kuvalia vikuku(shanga) na picha wanatumiana...
Uwezo huo hawana kama ndo life style yao ya hivi ngumu sana.Ndio maana wameshindwa kumbebesha mimba wema sepetu
Siku moja Nilitumiwa ujumbe na jamaa wa kinondoni nikajibu poa kisha akanimabia tunaweza kuwa marafiki ? Nikamwambia mbona hadi sasa wewe ni rafiki hapa fb?Kilichobaki sasa tukiwa kama wanaume wakweli,wanaume original kutoka mikoani tutakuja na tamko kwamba dar nzima wamejaa wanawake na ukiingia dar yoyote utayemuona we mtongoze ukapige miti!!! shenzi...
Nani amekwambia wanawake wa Dar wanataka mambo ya kutongozana?, kwanza hawajui hayo mambo na nyimbo zao nyingi utasikia singeli wanajifu wewe malaya unajiita malaya malaya gani haujawahi kufirwa? Ushaelewa hao ndio mademu wa Dar hawatongozwi unakamata unaemtaka unaenda kujipigia ukimaliza unamkatia kibunda, ukileta hisia zako za ******* unaleta mapenzi ya kihindi na pigo za Slumdog Millionaire wa Bollywood kwa mademu wa Dar utaitiwa wahuni wakufire kua makinisaiv mademu dar wanalia kwa sababu hawatongzwi
Huyu ninahisi atakuwa shoga homesexual aka Gay mwanamume kamili hawezi kusema maneno kama hayo anayoyasema huyu kijana.Atakuwa ni ***** huyu kijana.
Kwanini nimesema una uwalikini mkubwa?
Vile tunashuhudia humu jukwaani hata huko uraiani mambo ni yaleyale.
Kuna jamaa walikuwa wanatambiana kuwa ana nguo za kulalia nyingi kiasi kwamba mademu wakija getoni kwake wanaziiba!
Mwingine huwa anaandika hadi thread za kutuhamasisha wanaume tusikilize mziki wa Taarabu!
Kuna jamaa sikumbuki uzi ule ulikuwa unasemaje zaidi ila nakumbuka ulikuwa unazungumzia Dressing table.
Jamaa mmoja aliyejitamba kuwa anaishi mlimani city sijui apartment yake analipia 600k kwa mwezi yeye alipost meza yake ya chumbani ilivyosheheni mapodozi ya kila aina jambo lililo niacha mdomo wazi.
Humu Kuna mambo huwa yanafanywa na wanaume wa Dar huwa yanatuacha Hoi sisi wanaume wa mikoani.
Maana mimi hadi nakua nilijua lotion ni za wanawake tu kitu ambacho kimeniathiri hadi maana ni ngumu sana mimi kupaka lotion!
Mpaka sasa hivi uchoko upo kote.. alikuwaga yule kaoge ni mkurya sijui mjita ni mtu wa musoma na mwanza ila alikuwa ni *****Shida sio Dar, zamani ilikua wazungu !, leo hii tunasema Dar !, kama hatua zisipochukuliwa baadae si itakua mikoa karibu yote
Zile athari za globalization ndo hizo zinatokea
Na tukisema tusisubiri serikali hizi za kiafrika za misaada , haziwe,i kufanya kituMpaka sasa hivi uchoko upo kote.. alikuwaga yule kaoge ni mkurya sijui mjita ni mtu wa musoma na mwanza ila alikuwa ni *****
Lakini Dar wamekuwa wengi kupindukia wanaume sampuli ya akina Anko T nk wengi sana.Huyu ninahisi atakuwa shoga homesexual aka Gay mwanamume kamili hawezi kusema maneno kama hayo anayoyasema huyu kijana.Atakuwa ni ***** huyu kijana.