Video: Wanaume wa Dar wanachamba asee. Huu mkoa kwa upande wa wanaume tumeshasema una uwalakini mkubwa

Video: Wanaume wa Dar wanachamba asee. Huu mkoa kwa upande wa wanaume tumeshasema una uwalakini mkubwa

Mimi hap dar nimeon vtuko,kuwa wanaume wengi ni mashoga nawanapenda vitu vyake kike.si mnakumba msanii dayon monsoon,mwanaume aliyebadili jinsia,alitokea huko dar es saalam.Ushoga sio sir tena,watu wanafanya live bila uoga.saiv mademu dar wanalia kwa sababu hawatongzwi,wanaume wamekua wa vichipsi na nyeto.Ndoh maana ukitok mkoani,ukiingia tuh dar hivi mademu haukosi.
Na wewe kaka umeamua kutusema kweli ?
Boss yupo lakini ?
 
"Hakuna jipya chini ya Jua, Vyote hivi vilikuwepo"

Sasa kinachowa shangaza au kuona geni ni nini?? Au kosa hapo ni lipi? Afu mbona siku hizi kumekua na trend ya kulazimishana uanaume?? Kwani lazima? Ukiwa mwanaume lijari na shababy wee binafsi inatosha, kwanini uhangaikie na wengine? Au uanaume wako unatengenezwa au ku survive na uanaume wa mwingine??

Ushoga Uko Duniani kote, na hapa TZ sio DAR pekee hadi mikoani uko na umejaa Tele.

Sasa mtu huutaki Ushoga, ila kutwa kuufatilia na kuwafukunyua wadau wake, 😂😂😂😂😂
Nyie Waja em acheni kujistukia, kuweni wazi.
Msifakee, kuweni Real. Lol 😂😂😂😂
Ujumbe ufike ,wanaheneralize vitu ambavyo havipo .
 
Itapendeza kama hiyo tarehe 31, mwezi wa 03 mtu mmoja akatuwekea mrejesho
 
Itapendeza kama hiyo tarehe 31, mwezi wa 03 mtu mmoja akatuwekea mrejesho
Hahahaha kama una TikTok utaona Tv uchwara zitarusha live,

Ila mkeo akiwa kwenye vikundi vya shughuli kama hv hapo hakuna kazi aseeh
 
Neno lenyewe "Kuchamba" huwa halitamkwi na mwanaume. Sisi tunatamka "Kusutana" wenyewe ndio wanatumia huo msamiati, ni Neno la kike.
 
Wanawake ndiyo wako karibu nao hao na wanapenda mambo hayo
Sasa dume zima unakaa unamsikiliza lokole sjui dokta nani...
Tena huyo dokta k si mshamkaribisha mpk bungeni kama mgeni

Ova
 
So sad 😔, nadhani siri kali haina suruhisho juu ya hili, kwakuwa mzigo wa matukio hayo kama muendelezo kwa yanayo endelea ni jukumu la jamii husika! Tukili wazi katika muktadha wa mabadiriko ya tabia sidhani kama kuna sheria kali kwenye nchi yetu ili kubana watu au viashiria vya namna hiyo, lkn jamii ina nguvu ya kukemea kwa kutengeneza sheria binafsi ni swala la kuwa na sauti moja hata mtaani hawata onekana.
 
Back
Top Bottom