Video: Wanaume wa Dar wanachamba asee. Huu mkoa kwa upande wa wanaume tumeshasema una uwalakini mkubwa

Uzao wa kiume unapotea mdogomdogo 🥺

Ukitaka kuona ujinga mwinginwa watoto wa kiume ingia FB yaan Kuna mda unasema Kwan Hawa wamelelewa na wazaz ama vipi?

Kuna magroup ya gays 😳😳 yaan wanaume wanasifiana utadhan mtu anamsifia mwanamke kumbe mwanaume Dunia imekwishaa

Kuna mda naogopa sana unawaza ukizaa mtoto wa kiume unampaje malezi Ili aepushane na Hali hii
Aisee ni hatari mnoo binafisi huwa naumia mno hasa nikiona yanajimwambafaj mitandaoni
 
Nani amekwambia wanawake wa Dar wanataka mambo ya kutongozana?, kwanza hawajui hayo mambo na nyimbo zao nyingi utasikia singeli wanajifu wewe malaya unajiita malaya malaya gani haujawahi kufirwa? Ushaelewa hao ndio mademu wa Dar hawatongozwi unakamata unaemtaka unaenda kujipigia ukimaliza unamkatia kibunda, ukileta hisia zako za ******* unaleta mapenzi ya kihindi na pigo za Slumdog Millionaire wa Bollywood kwa mademu wa Dar utaitiwa wahuni wakufire kua makini
Mbona kugumu sasa kama ndo hivi
 
"Hakuna jipya chini ya Jua, Vyote hivi vilikuwepo"

Sasa kinachowa shangaza au kuona geni ni nini?? Au kosa hapo ni lipi? Afu mbona siku hizi kumekua na trend ya kulazimishana uanaume?? Kwani lazima? Ukiwa mwanaume lijari na shababy wee binafsi inatosha, kwanini uhangaikie na wengine? Au uanaume wako unatengenezwa au ku survive na uanaume wa mwingine??

Ushoga Uko Duniani kote, na hapa TZ sio DAR pekee hadi mikoani uko na umejaa Tele.

Sasa mtu huutaki Ushoga, ila kutwa kuufatilia na kuwafukunyua wadau wake, 😂😂😂😂😂
Nyie Waja em acheni kujistukia, kuweni wazi.
Msifakee, kuweni Real. Lol 😂😂😂😂
 
Nakubaliana na wewe hapa, ushoga upo kila mahali ni kwamba wanaficha tu.

Niliwahi kukutana na mmaasai shoga kule Arusha.
 
Jamaa mmoja aliyejitamba kuwa anaishi mlimani city sijui apartment yake analipia 600k kwa mwezi yeye alipost meza yake ya chumbani ilivyosheheni mapodozi ya kila aina jambo lililo niacha mdomo wazi.
Huyo wa Mlimani City kukaa 600k kwa mwezi kakupiga.
IMG_6768.png
IMG_6769.png
IMG_6770.jpeg

Bila $1,300 hapo ukai.
 
"Hakuna jipya chini ya Jua, Vyote hivi vilikuwepo"

Sasa kinachowa shangaza au kuona geni ni nini?? Au kosa hapo ni lipi? Afu mbona siku hizi kumekua na trend ya kulazimishana uanaume?? Kwani lazima? Ukiwa mwanaume lijari na shababy wee binafsi inatosha, kwanini uhangaikie na wengine? Au uanaume wako unatengenezwa au ku survive na uanaume wa mwingine??

Ushoga Uko Duniani kote, na hapa TZ sio DAR pekee hadi mikoani uko na umejaa Tele.

Sasa mtu huutaki Ushoga, ila kutwa kuufatilia na kuwafukunyua wadau wake, 😂😂😂😂😂
Nyie Waja em acheni kujistukia, kuweni wazi.
Msifakee, kuweni Real. Lol 😂😂😂😂
Hatuwezi kukubali tucheze pungufu wakati sisi tunapandisha mashambulizi wenzetu wanahamia timu pinzani
 
Ndo mtaishia kulia hivyo hivyo. Anzeni na wadau wa CHAPUTA kwanza, kabla hamjavamia Vidampa.
 
Uzao wa kiume unapotea mdogomdogo 🥺

Ukitaka kuona ujinga mwinginwa watoto wa kiume ingia FB yaan Kuna mda unasema Kwan Hawa wamelelewa na wazaz ama vipi?

Kuna magroup ya gays 😳😳 yaan wanaume wanasifiana utadhan mtu anamsifia mwanamke kumbe mwanaume Dunia imekwishaa

Kuna mda naogopa sana unawaza ukizaa mtoto wa kiume unampaje malezi Ili aepushane na Hali hii
Ndio athari za 50/50 hizo mliyokua mnaipigania. Unadhibiti masculinity ya mwanaume pamoja na kumwondoa kwenye familia halafu unampa nguvu mwanamke unategemea nini. Hao mashoga 98% ni matokeo ya malezi ya single mother. Hostoria ishatuonyesha mara nyingi sana mwanamke akipewa nguvu, kwa kujua au kutojua lazima azamishe jahazi
 
Ndio athari za 50/50 hizo mliyokua mnaipigania. Unathibiti masculinity ya mwanaume pamoja na kumwondoa kwenye familia halafu unampa nguvu mwanamke unategemea nini. Hao mashoga 98% ni matokeo ya malezi ya single mother. Hostoria ishatuonyesha mara nyingi sana mwanamke akipewa nguvu anazamisha jahazi
100%
 
Kwanini nimesema una uwalikini mkubwa?

Vile tunashuhudia humu jukwaani hata huko uraiani mambo ni yaleyale.

Kuna jamaa walikuwa wanatambiana kuwa ana nguo za kulalia nyingi kiasi kwamba mademu wakija getoni kwake wanaziiba!

Mwingine huwa anaandika hadi thread za kutuhamasisha wanaume tusikilize mziki wa Taarabu!

Kuna jamaa sikumbuki uzi ule ulikuwa unasemaje zaidi ila nakumbuka ulikuwa unazungumzia Dressing table.

Jamaa mmoja aliyejitamba kuwa anaishi mlimani city sijui apartment yake analipia 600k kwa mwezi yeye alipost meza yake ya chumbani ilivyosheheni mapodozi ya kila aina jambo lililo niacha mdomo wazi.

Humu Kuna mambo huwa yanafanywa na wanaume wa Dar huwa yanatuacha Hoi sisi wanaume wa mikoani.

Maana mimi hadi nakua nilijua lotion ni za wanawake tu kitu ambacho kimeniathiri hadi maana ni ngumu sana mimi kupaka lotion!
Kwahiyo wamempaka mafuta hahaha na rinda likatatuka
 
Ningekuwa Mafwele Boy huyo Anko T sijui Juma nani nani na wengineo wa upinde wangeshapoteza ndani ya Jiji Darsalaam
 
Back
Top Bottom