Video: Wanaume wa Dar wanachamba asee. Huu mkoa kwa upande wa wanaume tumeshasema una uwalakini mkubwa

Aisee ni hatari mnoo binafisi huwa naumia mno hasa nikiona yanajimwambafaj mitandaoni
 
Mbona kugumu sasa kama ndo hivi
 
"Hakuna jipya chini ya Jua, Vyote hivi vilikuwepo"

Sasa kinachowa shangaza au kuona geni ni nini?? Au kosa hapo ni lipi? Afu mbona siku hizi kumekua na trend ya kulazimishana uanaume?? Kwani lazima? Ukiwa mwanaume lijari na shababy wee binafsi inatosha, kwanini uhangaikie na wengine? Au uanaume wako unatengenezwa au ku survive na uanaume wa mwingine??

Ushoga Uko Duniani kote, na hapa TZ sio DAR pekee hadi mikoani uko na umejaa Tele.

Sasa mtu huutaki Ushoga, ila kutwa kuufatilia na kuwafukunyua wadau wake, 😂😂😂😂😂
Nyie Waja em acheni kujistukia, kuweni wazi.
Msifakee, kuweni Real. Lol 😂😂😂😂
 
Ushoga Uko Duniani kote, na hapa TZ sio DAR pekee hadi mikoani uko na umejaa Tele.
Nakubaliana na wewe hapa, ushoga upo kila mahali ni kwamba wanaficha tu.

Niliwahi kukutana na mmaasai shoga kule Arusha.
 
Jamaa mmoja aliyejitamba kuwa anaishi mlimani city sijui apartment yake analipia 600k kwa mwezi yeye alipost meza yake ya chumbani ilivyosheheni mapodozi ya kila aina jambo lililo niacha mdomo wazi.
Huyo wa Mlimani City kukaa 600k kwa mwezi kakupiga.
Bila $1,300 hapo ukai.
 
Hatuwezi kukubali tucheze pungufu wakati sisi tunapandisha mashambulizi wenzetu wanahamia timu pinzani
 
Hatuwezi kukubali tucheze pungufu wakati sisi tunapandisha mashambulizi wenzetu wanahamia timu pinzani
Ndo mtaishia kulia hivyo hivyo. Anzeni na wadau wa CHAPUTA kwanza, kabla hamjavamia Vidampa.
 
Ndio athari za 50/50 hizo mliyokua mnaipigania. Unadhibiti masculinity ya mwanaume pamoja na kumwondoa kwenye familia halafu unampa nguvu mwanamke unategemea nini. Hao mashoga 98% ni matokeo ya malezi ya single mother. Hostoria ishatuonyesha mara nyingi sana mwanamke akipewa nguvu, kwa kujua au kutojua lazima azamishe jahazi
 
100%
 
Kwahiyo wamempaka mafuta hahaha na rinda likatatuka
 
Ningekuwa Mafwele Boy huyo Anko T sijui Juma nani nani na wengineo wa upinde wangeshapoteza ndani ya Jiji Darsalaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…