Video: Wanaume wa Dar wanachamba asee. Huu mkoa kwa upande wa wanaume tumeshasema una uwalakini mkubwa

Na wewe kaka umeamua kutusema kweli ?
Boss yupo lakini ?
 
Ujumbe ufike ,wanaheneralize vitu ambavyo havipo .
 
Itapendeza kama hiyo tarehe 31, mwezi wa 03 mtu mmoja akatuwekea mrejesho
 
Itapendeza kama hiyo tarehe 31, mwezi wa 03 mtu mmoja akatuwekea mrejesho
Hahahaha kama una TikTok utaona Tv uchwara zitarusha live,

Ila mkeo akiwa kwenye vikundi vya shughuli kama hv hapo hakuna kazi aseeh
 
Neno lenyewe "Kuchamba" huwa halitamkwi na mwanaume. Sisi tunatamka "Kusutana" wenyewe ndio wanatumia huo msamiati, ni Neno la kike.
 
Wanawake ndiyo wako karibu nao hao na wanapenda mambo hayo
Sasa dume zima unakaa unamsikiliza lokole sjui dokta nani...
Tena huyo dokta k si mshamkaribisha mpk bungeni kama mgeni

Ova
 
So sad 😔, nadhani siri kali haina suruhisho juu ya hili, kwakuwa mzigo wa matukio hayo kama muendelezo kwa yanayo endelea ni jukumu la jamii husika! Tukili wazi katika muktadha wa mabadiriko ya tabia sidhani kama kuna sheria kali kwenye nchi yetu ili kubana watu au viashiria vya namna hiyo, lkn jamii ina nguvu ya kukemea kwa kutengeneza sheria binafsi ni swala la kuwa na sauti moja hata mtaani hawata onekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…