VIDEO: Wasaliti waanza kulia na kusaga meno. Hakuna kumhurumia yeyote, hakutakuwa na Mswalie Mtume

Anaesaga meno mpaka muda huu ni mbowe sababu cha kinaelekea kwenye anguko kuu kama ilivyotabiriwa ruzuku itakosekana!
 
Anabwabaja tu,eti chama kimeiga sjui wapi,ina maana ilikuwa hafahamu kilichokuwa kinaendelea ndani ya chama
Uzuri wa hasira za mitandao ya kijamii uishia humu humu,una uwezo wa kumfanya chochote unayemchukia
 
Hivi kumbe Uhuru wa mawazo na mtazamo kwa Wambowe ni usaliti!!!!! Kwa mazingira hayo ni zezeta tu atakayeepuka usaliti!
 
Kuwa kwenye siasa ni kuwa jehenamu au duniani?

Cdm mnatutisha
Cdm hata Mungu huona wema katikati ya uovu

Siku zitatukumbusha kama kanisa katoliki lilivyoumia kwa maamuzi kama haya 1500 years iliyopita kwamba kila aliyesema tofauti na imani ni msaliti na hapaswi kuwa sehemu ya jumuiya

Kwa nn cdm msijifunze?
 
Aibu aliyiwabebesha Wahaya si ya kubeza , amestaafu kihovyo mno !

Mnalialia nini chacha?

Chama au Mbowe, hii film inajirudiarudia.
Mkuu .siyo milioni 12, tunamdai Bilioni 12.
Billion 12 imekwenda na alijojo khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee … ….. na bado hizi ni rasha rasha. Chacha nani anasaga meno?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…