VIDEO: Wasaliti waanza kulia na kusaga meno. Hakuna kumhurumia yeyote, hakutakuwa na Mswalie Mtume

Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .

Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
View attachment 1447377
Rafiki Erythrocyte, ulikuwa umeanza kupiga hatua kadhaa mbele, ni kitu gani kinakurudisha nyuma sasa?

Usipoteze umakini mkuu, soma alama za nyakati na uzielewe vyema.

Nyinyi CHADEMA mmefika hapa kwa taabu sana, kwa nini muendelee kuwa na kumbukumbu fupi kiasi hiki kama sisi waTanzania wenzenu?

Tunawategemea nyinyi muwe mnatukumbusha tunaposahau haraka manyanyaso tunayofanyiwa na hawa watawala; sasa hata nyinyi mkianza kuwa na kumbukumbu fupi kiasi hiki, nani atamkumbusha mwenzie?

Hebu soma vizuri maneno aliyotumia kichaa Ndungai Bungeni kuwahusu hao wabunge unaosema watalia.

Kwani unadhani waliyofanya ya kukaidi maelekezo ya chama makusudi mazima walikuwa hawajui kwamba wanayo kinga?

CHADEMA, mnahitaji watu makini sana kwenye vitengo vyenu wenye mikakati ya kuzijua mbinu hizi. Acheni ubahiri na kutumia ruzuku sehemu isiyoleta tija kwenye chama.

Ndungai kamtangazia Mbowe waziwazi, tena Bungeni, kwamba harudi tena kwenye bunge lifuatalo. Hapo mlipo, mwenyekiti wenu anatishiwa na maneno mazito haya, bado mmetulia tuli kama hakuna lililotokea?

Sasa subirini hapo Oktoba; au hata huko asifike kabisa, kwa kujua tabia za hawa watu.

Sasa hivi wamekwishatambua kwamba kizingiti kikuu cha kuisambaratisha CHADEMA ni Mbowe. Pamoja na kwamba walidhani wangeimaliza CHADEMA mapema, lakini hawakujua Mbowe anazo nguvu kiasi gani ndani ya chama.

Wamejaribu kumwondoa kwa kesi/jela imeshindikana, sasa wanajiapiza "Bungeni Harudi", na wanajua bunge ni mali yao na uchaguzi mkuu ni mazingaombwe!

Lakini CHADEMA kama chama na askari wake kama akina Erythro, hawana kumbukumbu za mitego yote iliyobidi waitegue. Wanasubiri huu wa mwisho uwanase na kuwasambaratisha kabisa, tena wakati wa majeruhi!

Ukiona watu wapo kimya, tena wameamua kabisa kwenda kujificha..., halafu wewe ukabaki hapo ukidhani mipango haisukwi...; wewe utakuwa ni mjinga wa kutupwa.
 
Kwa afya ya Ndugai anaweza hata asiwepo kwenye huo uchaguzi Inshaallah , Shetani hajawahi kumshinda Mungu .

Kumbuka kwamba watawala hawang'olewi kwa kupenda , lakini wanashindwa na nguvu ya umma .

Tulipoweka hii #MWAMBA TUVUSHE hatukuwa tunatania , nadhani umenielewa , mengine sitayaweka hapa
 
..kweli.

..lakini una uhakika hawa walikuwa wanaheshimu vikao na viongozi wa cdm?

..nadhani hawa walikuwa tayari kwa lolote.
Mkuu 'Joka'
Mtu asikudanganye.

Hawa ni mpango kabambe zidi ya CHADEMA tokea mwanzo.
Hawa waliandaliwa. Hakuna mbunge yeyote asiyekuwa na akili, akaidi msimamo wa chama chake, tena kwenye dakika za majeruhi; ahatarishe mafao yake bila ya kuwepo na ahadi ya kinga.

CHADEMA nawalaumu kwa kitu kimoja. Naona hawajifunzi wakaelewa. Kila sehemu wanawekewa mitego, wao wanaingia kimasomaso bila hata ya kujiuliza!

Hali hii ya udhaifu wa aina hii ndiyo inayowafanya watu waseme CHADEMA na wapinzani kwa ujumla hawako tayari kucheza 'first eleven'.
Kwa nini hawawezi kuachana na udhaifu huu?
 
Kwa afya ya Ndugai anaweza hata asiwepo kwenye huo uchaguzi Inshaallah , Shetani hajawahi kumshinda Mungu .

Kumbuka kwamba watawala hawang'olewi kwa kupenda , lakini wanashindwa na nguvu ya umma .

Tulipoweka hii #MWAMBA TUVUSHE hatukuwa tunatania , nadhani umenielewa , mengine sitayaweka hapa
#MWAMBA unatafutiwa baruti mkuu; lakini nimekusoma hadi mwisho.
 
Wabunge nane wa CUF walienguliwa uanachama hatukusikia kelele nashangaa huyu tunaye mdai MILIONI 12 za kutibiwa India anabwekaaaaa
Kimsingi wangelivifuta vyama vyoooote ili wabaki wao na vibaraka wao wapendwa. Vinginevyo waviachie vyama vifanye kazi kwa mujibu wa katiba zake na si utashi wa wanaotaka iwe watakavyo.
Midhali hatuithamini katiba ya nchi je tutathaminije katiba za vyama visivyopendwa?
 
Kwa afya ya Ndugai anaweza hata asiwepo kwenye huo uchaguzi Inshaallah , Shetani hajawahi kumshinda Mungu .

Kumbuka kwamba watawala hawang'olewi kwa kupenda , lakini wanashindwa na nguvu ya umma .

Tulipoweka hii #MWAMBA TUVUSHE hatukuwa tunatania , nadhani umenielewa , mengine sitayaweka hapa

Hata wewe, Babako au Mamako mnaweza msiwepo pia kabla ta Uchaguzi, wewe siyo Mungu na usihukumu, ...
 
Lwakatare Ndio alitatambulisha Chadema Bukoba kabla ya hapo Chadema ilikuwa marangu tu
KAzi yake imeisha sasa Hata zile katapila za chai ndo zinaweka road sawa ila hatitumii hz road AMEKFANYA KZ KUBWA NJAA NA KUKOSA UTU KUMENPONZA NA DAWA YAKE NI AKAPUNZIKE AKATAFAKARI HUKO
 
Kwa usoni wa Lwakatare anajua sana kuji quarantine chama kililenga ku win international platform ambao wamefanikiwa mno kwa kauli za mwenyekiti wa ccm,spika na wakuu wa mikoa plus kifo cha marehemu mzee wetu Mahiga anacho kilitingisha ulimwengu wa kiplomasia.Mambo hayo amechangia pia kuonyeha Tanzania kuwa katika state of denial ya corona hii imechangia kunyimwa misaada na WHO.
Ushauri Lumumba wawe makini ma Chadema kwani sio kila jambo wanalofanya mlipe publicity kwani jamaa wana akili sana vitu Vingine ni mtego ya kisiasa kama hili ilitakiwa wanyamaze kama hamna lilitokea ingekuwa sio story au mngewapongeza muendelee na mambo yenu.
 
Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .

Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
View attachment 1447377
Kuingia kwenye vikao vya ubunge ndo usaliti ?Come on Chadema hapa mmechemsha.
 
Ameongea ukweli cdm ni taasisi imara sn ndio mkombozi pekee wa watz....
ccm walipompiga lissu risasi ili afe hakufa wakakataa kumtibu watz wakachanga wakamtibu CHUMA KINADUNDA
Wameua Akwilina wamewapa kesi chadema wamewapiga a hugely disproportioante fine lkn watz wamechanga kuwatoa gerezani......HOFU HOFU HOFU TU KWA JIWE NA GENGE LAKE LA KIHUNI LINALOUNDA SERIKALI YA KISHETANI.....

CDM inazidi kuimarika ndio maana nguvu kubwa imeunganishwa kati ya MAGUFULI NA NDUGAI kwa maagizo ya magu ili kudhibiti upinzani. Miaka 5 wamezuia kufanya siasa lkn bado wanaogopwa sana
 
Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .

Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
View attachment 1447377
Hivi siyo huyu aliyebambikiwa kesi ya ugaidi na CCM?
 
Back
Top Bottom