Nndu wa Selote
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 733
- 520
hili ulishaliandika hapo juu mjinga weweLwakatare Ndio aliyeipeleka Chadema Bukoba kabla ya hapo Chadema ilikuwa marangu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili ulishaliandika hapo juu mjinga weweLwakatare Ndio aliyeipeleka Chadema Bukoba kabla ya hapo Chadema ilikuwa marangu tu
Muhaya wakikuda sana huyu babuAibu aliyiwabebesha Wahaya si ya kubeza , amestaafu kihovyo mno !
Anaesaga meno mpaka muda huu ni mbowe sababu cha kinaelekea kwenye anguko kuu kama ilivyotabiriwa ruzuku itakosekana!Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .
Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
Iko kazi sana Mkuu kwa sasa. Kuiangusha chadema, inabidi mrudie ya serikali za mitaa.Anaesaga meno mpaka muda huu ni mbowe sababu cha kinaelekea kwenye anguko kuu kama ilivyotabiriwa ruzuku itakosekana!
Sasa analia nini ?
Umelogwa wewe .Anaesaga meno mpaka muda huu ni mbowe sababu cha kinaelekea kwenye anguko kuu kama ilivyotabiriwa ruzuku itakosekana!
Uzuri wa hasira za mitandao ya kijamii uishia humu humu,una uwezo wa kumfanya chochote unayemchukiaAnabwabaja tu,eti chama kimeiga sjui wapi,ina maana ilikuwa hafahamu kilichokuwa kinaendelea ndani ya chama
Mkuu .siyo milioni 12,tunamdai Bilioni 12.Wabunge nane wa CUF walienguliwa uanachama hatukusikia kelele nashangaa huyu tunaye mdai MILIONI 12 za kutibiwa India anabwekaaaaa
😂😂😂 kuna huko vichakani
Hivi kumbe Uhuru wa mawazo na mtazamo kwa Wambowe ni usaliti!!!!! Kwa mazingira hayo ni zezeta tu atakayeepuka usaliti!Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .
Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
Pesa hupita lakini heshima ya mtu ni maisha yakeUshaambiwa watalamba mafao yao bila tatizo unataka nini tena
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aibu aliyiwabebesha Wahaya si ya kubeza , amestaafu kihovyo mno !
Chama au Mbowe, hii film inajirudiarudia.Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .
Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
Billion 12 imekwenda na alijojo khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee … ….. na bado hizi ni rasha rasha. Chacha nani anasaga meno?Mkuu .siyo milioni 12, tunamdai Bilioni 12.