VIDEO: Wasaliti waanza kulia na kusaga meno. Hakuna kumhurumia yeyote, hakutakuwa na Mswalie Mtume

Watu walijaribu "kumtukana" mwenyeki faraghani wakafukuzwa wewe unakitukana chama,mwenyekiti na viongozi hadharani unategemea nini? Binafsi nadhani adhabu ya kuwafukuza ilikuja kwa kuchelewa sana.Nidhamu ni jambo la lazima kwenye hizi taasisi.Uzuri kuna mifumo ya ndani ya kukosoa maamuzi ya chama kwanini hawakutumia mifumo hiyo?
 
Soma na post za nyuma
 
Aibu aliyiwabebesha Wahaya si ya kubeza , amestaafu kihovyo mno !

Bunge linaisha weeks mbili zijazo na kampeni zina anza,kwa nn CDM wasiwaache tu hawa kwa hizi weeks 2?
Silinde kwa mfano aliisha jifia Momba,hawezi mshinda kijana wetu Simfukwe kura za maoni ndani ya CDM na sana sana angeenda Jimbo la Tunduma kumjaribu Mwakajoka lkn pia angepigwa kura za maoni,Silinde kumfukuza ni kumpa mileages za kisiasa tu,aliisha jifia kwa kuwa acha ‘masela’ walio mpa ubunge!
Kumbuka 2015 Silinde alimshinda Simpasa wa CCM kwa tofauti ya kura 208 tu (Silinde 36,408 vs 36,200 za Simpasa)
Silinde hawezi shinda ubunge 2020!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii misaliti imejengwa na ccm na serikali kwa ajili ya kukiboa chama cha CDM, naipongeza kwa dhati kabisa kuondoa misaliti, chadema kina mtaji wa ajabu sana wa watu kuliko ccm na kusema kweli ccm wanajua hili.
 
Wapi Analia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…