allantence
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 353
- 301
Mungu mbariki Mh. Magufuli azidi kutawala zaidi mabeberu wanajinusa wanaacha wanajinusa wanaacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu mbariki Mh. Magufuli azidi kutawala zaidi mabeberu wanajinusa wanaacha wanajinusa wanaacha.Lwakatare Ndio aliyeipeleka Chadema Bukoba kabla ya hapo Chadema ilikuwa marangu tu
Watu walijaribu "kumtukana" mwenyeki faraghani wakafukuzwa wewe unakitukana chama,mwenyekiti na viongozi hadharani unategemea nini? Binafsi nadhani adhabu ya kuwafukuza ilikuja kwa kuchelewa sana.Nidhamu ni jambo la lazima kwenye hizi taasisi.Uzuri kuna mifumo ya ndani ya kukosoa maamuzi ya chama kwanini hawakutumia mifumo hiyo?Mngewapa basi adhabu ya kuwavua nyadhifa kisha kuwapiga ban ya kugombea miaka 5
Kama ni mtu muungwana atabaki chamani kama siyo ataondoka na hapo chama chake cha awali kitabeba tena the credibility highest rank
Mbinu hii haina morality value
For instance hapa JF watu wanapopewa ban kwa kweli wanaumia kwa kuwa wanaipenda Jf wanavumilia na wanarudi kwa furaha
Mbinu ya kufukuza haina thamani kwa utendaji wa chama
Watu walijaribu "kumtukana" mwenyeki faraghani wakafukuzwa wewe unakitukana chama,mwenyekiti na viongozi hadharani unategemea nini? Binafsi nadhani adhabu ya kuwafukuza ilikuja kwa kuchelewa sana.Nidhamu ni jambo la lazima kwenye hizi taasisi.Uzuri kuna mifumo ya ndani ya kukosoa maamuzi ya chama kwanini hawakutumia mifumo hiyo?
Sasa unalia nini ?Wanatia huruma ipi? Kwani wamesaliti nini, kuhudhuria Vikao vya Bunge kama Mbunge ni kusaliti? Mmekosa hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Aibu aliyiwabebesha Wahaya si ya kubeza , amestaafu kihovyo mno !
Wapi Analia!Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .
Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
View attachment 1447377