paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Aliyeviloga hivi Vyama vya Upinzani, ni mchawi haswaaa!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Mbowe bhana anafeli sana japo siwatetei hawa wasaliti,lakini inakuaje kunakosekana mahusiano mazuri kati ya Mwenyekiti na Mbunge ambaye amewahi kuwa Afisa usalama wa Chama na tena aliyeyumikia chama cha uadilifu mkubwa na nyakati ngumu??? alafu mwisho wa siku wanamtema kizembezembe dakika za mwisho ...Itachukua miaka mingi sana CHADEMA kusimama kama taasisi maana wanajenga na kubomoaTuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .
Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
Kuwa kwenye siasa ni kuwa jehenamu au duniani?
Cdm mnatutisha
Cdm hata Mungu huona wema katikati ya uovu
Siku zitatukumbusha kama kanisa katoliki lilivyoumia kwa maamuzi kama haya 1500 years iliyopita kwamba kila aliyesema tofauti na imani ni msaliti na hapaswi kuwa sehemu ya jumuiya
Kwa nn cdm msijifunze?
..hata mimi sikupenda jinsi hawa wabunge walivyofukuzwa.
..lakini cdm wasingechukua hatua ingekuwa vigumu kusimamia nidhamu na msimamo wa chama kuhusu kujiweka kando na vikao vya bunge.
..na tatizo lingine linalosononesha ni kauli za kubeza chama zilizokuwa zinatolewa na Mh.Selasini, Mh.Lwakatare, na Mh.Komu, na Mh.Silinde, wakati wakichangia ndani ya bunge, na ktk mahojiano na vyombo vya habari.
..binafsi nadhani kama wasingekuwa wanakishambulia chama wakati wa kuchangia mijadala ya bunge, labda kamati kuu ya cdm isingefikia uamuzi huu mgumu na wa kusikitisha.
Mropokaji kati ya wanaotukana chama hadharani na kamati kuu ni nani ?]Busara ya kukaa kimya ni nzuri sana kama kuna watu wanaielewa.
Ndiyo maana kwangu mfano wa uongozi ni maaskofu( hawawahi wala hawachelewi ili wasisababishe kifo na yeye asijiue).
Maamuzi ya kiongozi lazima yawe na chembe ya wema na haki kwani wanaperfom kazi ya Mungu hivyo wakishindwa wao wanakuwa wamehesabiwa dhambi.
Je adhabu hii inawema? Imetoa haki kati ya aliyekosewa( chama) na mkosaji (mbunge)?
Adhabu hii haijasababisha kifo kwa mkosaji( all aspects) au mkosewa ( chama) hajajisababishia kifo?
Ukitazama Cdm hasa viongozi wakuu wanaonekana kuzishiriki shida zote za magu yaani hawana tofauti( inaonekana cdm hakuna watu wenye hofu kamili ya mungu na kuogopa makosa ya sharia ya maumbile pia sharia zingine za Mungu )
Kamati kuu inawatu kama mdee, mnyika, Jacob, na wengine ambao asili ni waropokaji, wajeuri na hawana utii hivyo si rahisi kuona wema wa mkosaji au safari ya gari lao, msipobadili Hali ya akili na tabia ya viongozi hasa kamati kuu ni ngumu kuona mayai ya nyoka.
😆😆😆😆
Wote hamna adabu kwa kuwa kubwabwaja ni kama sifa ya viongozi wa cdm hakuna adabu, heshima wala kauli ya upole,unyenyekevu na sympathy inayolenga kukusanya na si kutawanyaMropokaji kati ya wanaotukana chama hadharani na kamati kuu ni nani ?
Hivi kubwabwaja ni nini ? wanaonukuliwa na vyombo vya habari unawaona ila unaleta uzushi tu !Wote hamna adabu kwa kuwa kubwabwaja ni kama sifa ya viongozi wa cdm hakuna adabu, heshima wala kauli ya upole,unyenyekevu na sympathy inayolenga kukusanya na si kutawanya
Uvumilivu ni mwalimu mzuri ambaye hata wewe ukiikosa ndoa yako inaharibika
Nimeona umuhimu wa chama kuwa na chaplain pia bunge ili mrudishwe kwenye asili ya Mungu mnayemwamini ambaye ni haki , wema sheria ya mambile( maadili)
WoteHivi kubwabwaja ni nini ? wanaonukuliwa na vyombo vya habari unawaona ila unaleta uzushi tu !
Wote
Hao wabunge ni viongozi kwani ni sehemu ya maamuzi ya cdm
Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .
Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
View attachment 1447377
Wewe dogo unaweza kuwa mchawiLwakatare Ndio alitatambulisha Chadema Bukoba kabla ya hapo Chadema ilikuwa marangu tu
Kwqni wewe kupewa uafisa paraganda huko chadema kunakutoa akili na kujisahau sanaHeshima waliyojijengea kwa miaka yote kuiyeyusha kwa siku mbili ni jambo la aibu litakalowadhalilisha maisha yote .
Fadhila za chadema kwa Lwakatare si za yeye kuja kufanya hivi , hii ni aibu kwake na familia yake
Chama makini
Kingewahoji hata kwa simu basi kwa wakati huu
Baada ya kuvunja bunge mkawafukuza hapo chama kingegain momentum ya wabunge wenyewe na umma
Lkn leo inaonekana ni hasira, wivu na roho mbaya ambayo inatazama mafao tu ili wakose fedha za kampeni lkn chadema inapaswa kuwa na roho mbaya hivyo wakati umma ukiwahurumia ktk nyakati zao za shida?
😆😆😆😆Wewe dogo unaweza kuwa mchawi
Maana una mambo ya kiwanga wanga tu
kush na Wisdom