VIDEO: Wasaliti waanza kulia na kusaga meno. Hakuna kumhurumia yeyote, hakutakuwa na Mswalie Mtume

VIDEO: Wasaliti waanza kulia na kusaga meno. Hakuna kumhurumia yeyote, hakutakuwa na Mswalie Mtume

Lakini Mbowe bhana anafeli sana japo siwatetei hawa wasaliti,lakini inakuaje kunakosekana mahusiano mazuri kati ya Mwenyekiti na Mbunge ambaye amewahi kuwa Afisa usalama wa Chama na tena aliyeyumikia chama cha uadilifu mkubwa na nyakati ngumu??? alafu mwisho wa siku wanamtema kizembezembe dakika za mwisho ...Itachukua miaka mingi sana CHADEMA kusimama kama taasisi maana wanajenga na kubomoa
No thank you! Nidham ndio kila kitu ktk kuijenga taasisi na si vinginevyo
 
Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .

Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
View attachment 1447377
Huyu mheshimiwa ameiva sana Tafadhali uongozi Wa chadema msameheni,ila kwa shariti moja mwaka huu agombee ubunge Bk mjini kupitia chadema Bk mjini bado wanamuitaji .
 
Cdm chama LA akili wame distort image ya serikali ya jiwe pakubwa na wanaelekea kuiangusha kabisa, kuliko hako kadamage kafogo ka kuwafukuza wasaliti
 
Chama makini
Kingewahoji hata kwa simu basi kwa wakati huu

Baada ya kuvunja bunge mkawafukuza hapo chama kingegain momentum ya wabunge wenyewe na umma
Lkn leo inaonekana ni hasira, wivu na roho mbaya ambayo inatazama mafao tu ili wakose fedha za kampeni lkn chadema inapaswa kuwa na roho mbaya hivyo wakati umma ukiwahurumia ktk nyakati zao za shida?
Nafili hapa ngoma droo maana watu usema MTU akija kistarabu nawe utamchkulia kistarabu,ila akija kishari nawe utampokea kishari.
Namanisha
Kama hawa waeshimiwa walianza ziaka kwa chama chao public why wasingesubili vikao alali za vyama vyao ili wapige ziaka zao humo.Hakuna chama chochote inje ya chadema kitakubali mwanachama au mbunge azalilishe chama alafu achekewe.
Na hawa wabunge wajue kwa mjibu wa chadema kila jimbo tz lina watia nia wa kugombea ubunge zaidi ya mmoja.so chadema hawana cha kupoteza
 
Hii clip Inatia huruma sana, leo hii kwa umri huo wewe ni wa kufanya hayo? kama unataka kustaafu kwa nini usistafu ndani ya chama chako kwa heshima..na CDM ikawa inakutumia kwa ushauri kwani umeshaongoza hadi Kurungezi nyeti ya chama asa leo hii mzee wangu ni wa kudanganyiwa pipi unakimbilia.

Kwa hili tunawaachia CDM wenyewe...ila ningekuwa ni mimi mapemaa ningeandika barua ya kuomba radhi ya kuiangukia Kamati Kuu na chama kwa ujumla.
 
Tena watia nia wengi wao ni vijana aggressive, Graduates na wana vision na focus kukipigania chama chao kwa hoja nzito mwenye uchaguzi huu utakaokuja baada ya kuundwa Tume Huru ya uchaguzi.
 
Rafiki Erythrocyte, ulikuwa umeanza kupiga hatua kadhaa mbele, ni kitu gani kinakurudisha nyuma sasa?

Usipoteze umakini mkuu, soma alama za nyakati na uzielewe vyema.

Nyinyi CHADEMA mmefika hapa kwa taabu sana, kwa nini muendelee kuwa na kumbukumbu fupi kiasi hiki kama sisi waTanzania wenzenu?

Tunawategemea nyinyi muwe mnatukumbusha tunaposahau haraka manyanyaso tunayofanyiwa na hawa watawala; sasa hata nyinyi mkianza kuwa na kumbukumbu fupi kiasi hiki, nani atamkumbusha mwenzie?

Hebu soma vizuri maneno aliyotumia kichaa Ndungai Bungeni kuwahusu hao wabunge unaosema watalia.

Kwani unadhani waliyofanya ya kukaidi maelekezo ya chama makusudi mazima walikuwa hawajui kwamba wanayo kinga?

CHADEMA, mnahitaji watu makini sana kwenye vitengo vyenu wenye mikakati ya kuzijua mbinu hizi. Acheni ubahiri na kutumia ruzuku sehemu isiyoleta tija kwenye chama.

Ndungai kamtangazia Mbowe waziwazi, tena Bungeni, kwamba harudi tena kwenye bunge lifuatalo. Hapo mlipo, mwenyekiti wenu anatishiwa na maneno mazito haya, bado mmetulia tuli kama hakuna lililotokea?

Sasa subirini hapo Oktoba; au hata huko asifike kabisa, kwa kujua tabia za hawa watu.

Sasa hivi wamekwishatambua kwamba kizingiti kikuu cha kuisambaratisha CHADEMA ni Mbowe. Pamoja na kwamba walidhani wangeimaliza CHADEMA mapema, lakini hawakujua Mbowe anazo nguvu kiasi gani ndani ya chama.

Wamejaribu kumwondoa kwa kesi/jela imeshindikana, sasa wanajiapiza "Bungeni Harudi", na wanajua bunge ni mali yao na uchaguzi mkuu ni mazingaombwe!

Lakini CHADEMA kama chama na askari wake kama akina Erythro, hawana kumbukumbu za mitego yote iliyobidi waitegue. Wanasubiri huu wa mwisho uwanase na kuwasambaratisha kabisa, tena wakati wa majeruhi!

Ukiona watu wapo kimya, tena wameamua kabisa kwenda kujificha..., halafu wewe ukabaki hapo ukidhani mipango haisukwi...; wewe utakuwa ni mjinga wa kutupwa.
Mkuu umeandika vizuri ila niliwai soma Uzi hum ukisema CHADEMA INA roho saba kama paka,sikujua maana yake may be anaeelewa atujuze kidogo.ila kwa mtazamo wangu chadema ina vichwa na nguvu ya chadema aipo kwa mbowe tu ila ipo kwa kila mwanachama wa chadema.namanisha hata leo unaweza mchukua mwanachama kutoka huko kakonko ndani kabisa ukamkabizi uwenyekiti taifa na akafanya vizuri kuliko ata Mbowe.
Mfano ebu kumbuka mkutano wao wa wakina mama uliofanyika majuzi dar ,na angalia hata mipango yao walivyokua wanaeleza.
Na nafikiri siri kubwa ya chadema kua na nguvu kubwa ya umma na kujitoa kwa kila mwanachama wao ni moja tu
CHADEMA hawana ubaguzi katika kutoa nafasi mbalimbali za uongozi wao uangalia MTU anakubalikaje katika jamii na ushiriki wake katika kukitumikia chama hivyo,
Uwe mkata mkaa,muuza kahawa,mshona viatu,bamedi,nk ni twende tu
 
Hii clip Inatia huruma sana, leo hii kwa umri huo wewe ni wa kufanya hayo? kama unataka kustaafu kwa nini usistafu ndani ya chama chako kwa heshima..na CDM ikawa inakutumia kwa ushauri kwani umeshaongoza hadi Kurungezi nyeti ya chama asa leo hii mzee wangu ni wa kudanganyiwa pipi unakimbilia.

Kwa hili tunawaachia CDM wenyewe...ila ningekuwa ni mimi mapemaa ningeandika barua ya kuomba radhi ya kuiangukia Kamati Kuu na chama kwa ujumla.
Alipewa Rupia haramu Naye kazipokea toka kwa shetani mkuu huku akifahamu yatakayomkuta.Ila nchi hii kwa vipaumbele vya namna hii haiwezi kuendelea kamwe.Mara tuwaite kina Mwambe kurudi bungeni ili kufuta aibu ya kulipwa mishahara na posho baada ya kujivua uanachama wa CDM na kujiunga na CCM.Sasa tens tutaendelea kuwalipa wabunge waliovuliwa uanachama na pia kuhamishia Ikulu nyumbani kumenoga!!!
 
Mkuu umeandika vizuri ila niliwai soma Uzi hum ukisema CHADEMA INA roho saba kama paka,sikujua maana yake may be anaeelewa atujuze kidogo.ila kwa mtazamo wangu chadema ina vichwa na nguvu ya chadema aipo kwa mbowe tu ila ipo kwa kila mwanachama wa chadema.namanisha hata leo unaweza mchukua mwanachama kutoka huko kakonko ndani kabisa ukamkabizi uwenyekiti taifa na akafanya vizuri kuliko ata Mbowe.
Mfano ebu kumbuka mkutano wao wa wakina mama uliofanyika majuzi dar ,na angalia hata mipango yao walivyokua wanaeleza.
Na nafikiri siri kubwa ya chadema kua na nguvu kubwa ya umma na kujitoa kwa kila mwanachama wao ni moja tu
CHADEMA hawana ubaguzi katika kutoa nafasi mbalimbali za uongozi wao uangalia MTU anakubalikaje katika jamii na ushiriki wake katika kukitumikia chama hivyo,
Uwe mkata mkaa,muuza kahawa,mshona viatu,bamedi,nk ni twende tu
Swadakta
 
Heshima waliyojijengea kwa miaka yote kuiyeyusha kwa siku mbili ni jambo la aibu litakalowadhalilisha maisha yote .

Fadhila za chadema kwa Lwakatare si za yeye kuja kufanya hivi , hii ni aibu kwake na familia yake

Bila chadema maisha yanaendelea, tanzania tupo milioni 60 wanachama ambao wanafaidi mafao ya vyama vya siasa hawazidi laki tano 500000, sasa utasemaje hao bila siasa watadhalilika? Ina maana watu milioni 59500000 tianadhalilika? Nyumbu bhana mna ajenda mbovu sana.
 
Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .

Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
View attachment 1447377
Wanatia huruma ipi? Kwani wamesaliti nini, kuhudhuria Vikao vya Bunge kama Mbunge ni kusaliti? Mmekosa hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mngewapa basi adhabu ya kuwavua nyadhifa kisha kuwapiga ban ya kugombea miaka 5
Kama ni mtu muungwana atabaki chamani kama siyo ataondoka na hapo chama chake cha awali kitabeba tena the credibility highest rank
Mbinu hii haina morality value

For instance hapa JF watu wanapopewa ban kwa kweli wanaumia kwa kuwa wanaipenda Jf wanavumilia na wanarudi kwa furaha

Mbinu ya kufukuza haina thamani kwa utendaji wa chama
 
Back
Top Bottom