Video: Watanzania huwa mna tabia ya kusahau, Prof. Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo aliongea ukweli mchungu sakata la Sukari. Wakamuweka pembeni

Video: Watanzania huwa mna tabia ya kusahau, Prof. Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo aliongea ukweli mchungu sakata la Sukari. Wakamuweka pembeni

Alisema kweli na bado Bashe akaja akapita palepale na kupiga kama kawa! Vichwa vyetu vina shida sana wabongolendi. Shambani kwa bibi yetu
Kabisa, alichokataa mwenzake Bashe akaji kuwabashia kampun zake na kuingiza sukari. Mpina kalia nae, sijui wamefikia wapi.

Huyu nadhani ni moja ya wale jamaa wa majalalani anasema kweli na kufanya uchawa wenye weledi.
 
Huwa akijilipua hana breki.

View attachment 3223712

Hili la juzi ni kawaida yake.
Sheria hii ilikuwa na Nia njema kabisa ila Sasa wenye viwanda wakageuka kuwa madalali na kutengeneza uhaba wa kusudi Ili wapige hela na hii ilitokana na ukweli kwamba nao ni wafanyabiashara.

Unawalonda harafu Wanaleta shida Ile Ile so Bora soko kuwa huria na ndicho Bashe amekifanya Sasa hivi japo akawa anabishana na Mpina.

Mwisho hiki hakilingani na alichosema juzi kwamba alizuiwa kuongea.

By the way Samia ni muingwana na hajawahi fanya maamuzi Kwa mihemko hata siku Moja .
 
Back
Top Bottom