Video: Watanzania mbona waoga hivi, tatizo ni nini?

Video: Watanzania mbona waoga hivi, tatizo ni nini?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Very funny but questionable

Mtu pekee alieweza kutawanya kikundi hiki cha wanaume wa kitanzania ni polisi mmoja tu, tena ni dereva ambae hakuwa hata na chochote.

Jibu la ni moja tu ....UOGA 😂😂

Polisi kashuka bila chochote na hii ni ishara tu kwamba alikuwa ana nia njema kabisa

 
haahaaa! nimecheka sana,kama ni hivi hata kesho hatutaweza
Kwani polisi kazi yao ni kupiga tu?

Polisi kashuka hana hata chelewa mkononi na yeye ni dereva huenda labda alikuwa anaulizia tu directions ama kutoa ushauri tu kwamba wajiangalie wasigongwe na magari.

Ila matokeo yake Wanaume hao wamechapa nduki ,😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watz hatuna asili ya ugomvi.
 
Wale wapemba walikua wanajifanya kichwa ngumu wameufyata ndio itakua hawa bendera fuata upepo?

Wapinzani ninyi mjikubali tu ni wachache na hamuwezi kitu, eti kuna waliokua wakisema Tarime, Rorya Kanda Maalum CCM haiwezi kushinda

Nani kasema? Hahaha
 
Duuh! Nimecheka hadi basi!
Nawaasa tu ndugu zangu achaneni na mawazo ya maandamano. Tuendelee na kazi ya kujenga Taifa na kuzitafutia riziki familia zetu.
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
 
Nawaona keyboard warriors mnaringaaaa.

Siku wakianza kuwazoa watumiaji wa VPN tutaona uoga wenu na nyie
 
Kenya kwenye nyakati kama hizo hapo huyu jamaa hawezi thubutu kushuka. Hata aje na silaha kali, labda awe na back-up ya platoon yake na yale magwanda yao ya vita. Wakenya wa 'kujitoa mhanga' huwa wapo wengi sana hapo. Kugeuziwa hapo ni sekunde moja tu jombaa. [emoji1]
1606792_IMG-20171004-WA0001.jpg
 
Kenya kwenye nyakati kama hizo hapo huyu jamaa hawezi thubutu kushuka. Hata aje na silaha kali, labda awe na back-up ya platoon yake na yale magwanda yao ya vita. Wakenya wa 'kujitoa mhanga' huwa wapo wengi sana hapo. Kugeuziwa hapo ni sekunde moja tu jombaa. [emoji1]
1606792_IMG-20171004-WA0001.jpg
DUH 😁😁
 
Watanzania tupige kazi,siasa tuwaachie wanasiasa...kwani mnawashwani??!..hata raisi angepita lissu unadhani maisha ndo yangekuwa mdebwedo,uvunjwe mbavu kisa nin?!
 
Back
Top Bottom