Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Tanzania hata usiwaulize unaongea na mazuzu na vilaza. Dawa ya watanzania ni kukaa kimya, tetea maisha yako. Watanzania wanaweza kukuruka halafu ulikua unawasaidiaMzee tunaomba ripoti ya maandamano