Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Askari wa kenya ni mdebwedo,huku bongo unavunjwa mbavu mapema sana..usifananishe askari wa kenya na bongo,askari wa bongo sio watu kabisa,usiombe wawepo na mgambo hatari sana!Kenya kwenye nyakati kama hizo hapo huyu jamaa hawezi thubutu kushuka. Hata aje na silaha kali, labda awe na back-up ya platoon yake na yale magwanda yao ya vita. Wakenya wa 'kujitoa mhanga' huwa wapo wengi sana hapo. Kugeuziwa hapo ni sekunde moja tu jombaa. [emoji1]![]()