sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwani polisi kazi yao ni kupiga tu?haahaaa! nimecheka sana,kama ni hivi hata kesho hatutaweza
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.Duuh! Nimecheka hadi basi!
Nawaasa tu ndugu zangu achaneni na mawazo ya maandamano. Tuendelee na kazi ya kujenga Taifa na kuzitafutia riziki familia zetu.
DUH ππKenya kwenye nyakati kama hizo hapo huyu jamaa hawezi thubutu kushuka. Hata aje na silaha kali, labda awe na back-up ya platoon yake na yale magwanda yao ya vita. Wakenya wa 'kujitoa mhanga' huwa wapo wengi sana hapo. Kugeuziwa hapo ni sekunde moja tu jombaa. [emoji1]