Video: Watanzania mbona waoga hivi, tatizo ni nini?

Askari wa kenya ni mdebwedo,huku bongo unavunjwa mbavu mapema sana..usifananishe askari wa kenya na bongo,askari wa bongo sio watu kabisa,usiombe wawepo na mgambo hatari sana!
 
Viongozi watangulie mbele Dar

Viongozi haohao watangulie mbele Mwanza, Moshi, Arusha , Zanzibar Mbeya, Morogoro, Tanga, Tabora nk,, hii haiwezi wezekana.

Halafu kuandamana si issue kivile, mnaacha wanaandamana wanakaa weee halafu wanarudi majumbani mwao. Wenyewe wataanza kuona hela zinawaishia watachomoka mmoja baada ya mwingine. Na hapo watakuwa wamekosa nguvu kabisa.

Nasema hivi kwasababu mimi napenda amani, sipendi hata kidogo ukatili na uonevu tena bila sababu za msingi.

Kama watu wanaandamana kwa amani vyombo vya usalama na ulinzi viwepo kuhakikisha amani hiyo inadumishwa walakini visiwe vyenyewe ndo vyanzo vya kutibua amani.

Kuandamana ni haki ya kikatiba, lakini kuandamana kwa uhalifu ni jinai.
 
Askari wa kenya ni mdebwedo,huku bongo unavunjwa mbavu mapema sana..usifananishe askari wa kenya na bongo,askari wa bongo sio watu kabisa,usiombe wawepo na mgambo hatari sana!
Wewe unawajua Kenya Police au unawasikiaga tu? Fika Isebania au hata Namanga mkajuane nao vyema.
 
Nimecheka sana ila nikaishia kuwa na huzuni, poleni sana ndugu zetu, kwa namna hiyo ni wazi hampo tayari kwa mageuzi, mtulie tu labda vizazi vyenu vya baadaye sana miaka ya usoni vitakuja kubadilisiha lakini sio nyie wa leo.
 
Wewe hizo nguo ni balaa.....thubutu kumgusa ndio utajua ujui
 
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
Mimi situmie VPN. Natumia mtandao wa kawaida. Internet ipo na inafanya kazi. Mitandao ya kijamii tu ndo imesitishwa kwa muda. hata hivyo, jamiiforums inafanya kazi.
 
Nimecheka hadi nimejamba[emoji28][emoji28][emoji1787]
 
Hii picha huyo polisi alikuwa anamuovatek huyo mkora mwenzio
 
Hii picha huyo polisi alikuwa anamuovatek huyo mkora mwenzio
[emoji1][emoji1][emoji1] Waandamanaji ambao wanapigania haki zao ndio unawaita wakora? Acheni uoga bana, hao wahuni huwa wanabebwa tu na magenge yao na sanasana silaha zao. Wakithubutu kuja 'omundu khu mundu' huwa wanapewa discipline. [emoji1]
 
Hii pic ni photoshot
[emoji1][emoji1][emoji1] Waandamanaji ambao wanapigania haki zao ndio unawaita wakora? Acheni uoga bana, hao wahuni huwa wanabebwa tu na magenge yao na sanasana silaha zao. Wakithubutu kuja 'omundu khu mundu' huwa wanapewa discipline. [emoji1]
 
Nimecheka sana ila nikaishia kuwa na huzuni, poleni sana ndugu zetu, kwa namna hiyo ni wazi hampo tayari kwa mageuzi, mtulie tu labda vizazi vyenu vya baadaye sana miaka ya usoni vitakuja kubadilisiha lakini sio nyie wa leo.
Kwani nyie kenya mna mageuzi gani??
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Waandamanaji ambao wanapigania haki zao ndio unawaita wakora? Acheni uoga bana, hao wahuni huwa wanabebwa tu na magenge yao na sanasana silaha zao. Wakithubutu kuja 'omundu khu mundu' huwa wanapewa discipline. [emoji1]
bongo linapokuja swala la kupiga watu,usidhani polisi wanaigiza.[emoji1][emoji1][emoji1]

hao polisi wenu wa kenya tuwaache wako league yao[emoji23][emoji23][emoji23]
 
bongo linapokuja swala la kupiga watu,usidhani polisi wanaigiza.[emoji1][emoji1][emoji1]

hao polisi wenu wa kenya tuwaache wako league yao[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha uoga wewe! πŸ˜…
Polisi ni mwanadamu tu kama wewe.
 
Huyu naye ni mwalimu akimcharaza polisi viboko, mtumishi mwenzake wa umma. Kwenye maandamano ya walimu kule gatuzi la Kericho. πŸ˜€
Huyu polisi nae vipi anakimbilia vita bila cover up? wacha achapwe!
 
Acha uoga wewe! [emoji28]
Polisi ni mwanadamu tu kama wewe.
nyinyi hao mnafanya fujo na ma3,kisha gari ya polisi inapita ikiwazuia mnatoboa tyre mkishangilia[emoji23][emoji23],eti nini hamuogopi polisi.

hao polisi wenu ni maandazi huo ndio ukweli,bongo sio kwamba ukikomaa humpigi polisi,unamgonga vyema kabisa,ila hakikisha umeandaa mwili na maji umekunywa ya kutosha,hakuna rangi utaacha kuona.
 
HAHAHAHHAHAHHAHAHA kashuka bila chochote hahahahaha hujaona kashuka na gwanda zake hapo
 
Mzee tunaomba ripoti ya maandamano
 
Na nyumban uage kabisa yaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…