Video: Watanzania wampongeza rais wao kwa kusoma hotuba ya kingereza

Angekua hajui asingeongea acheni porojo bana
 
Kama unaweza panda vyeo vya serikali kutoka mbunge, kwenda waziri hadi Rais bila kujua kiingereza cha kudondolea puani basi hamna advantage yeyote ya lugha ya mkoloni. Maisha ya John pombe Magufuli mtoto wa maskini yana ashiria haya kwa uwazi kabisa.
......na hii ya kulipualipua mambo hata katika mambo ya msingi hata elimu ndiyo epitome ya umasikini wetu despite being top 3 in the continent in terms of natural riches.
 
Kumbe padlocks anaeza ongea Kiingereza. Hata kama ni ya kubahatisha lakini amejaribu. Zamani nilikuwa nimempa 2/10 sasa nimempa 5/10. Hongera sana. Watamzania wengine wamuige raisi wao katika kujifunza lugha la kimataifa.
 
Hahitaji marks za kiiengereza
 
Tumekuelewa mkuu, 'they confident'!
 
Ushawasikia Hawa jamaa wanaongea Hiyo Lugha mnayojigamba nayo Wakenya wakati mnashindia Gundi Mmpate Stimu!!!
Wakenya ni WATUMWA WA MUINGEREZA!!!

5

Tz tunachukulia English kama Lugha za kienyeji. Tofauti na Mkenya anaamini akiongea kiingereza basi ashakua
1. Tajiri
2. Msomi
3. Mjanja
Badilikeni!!!!
 
Ramaphosa kachomoa Dili la Kenya
Umeiskia Hiyo?
 
Ushawasikia Hawa jamaa wanaongea Hiyo Lugha mnayojigamba nayo Wakenya wakati mnashindia Gundi Mmpate Stimu!!!
Wakenya ni WATUMWA WA MUINGEREZA!!!
View attachment 1110681
View attachment 11106825
View attachment 1110683
View attachment 1110684
Wakenya ni watu wa ajabu sana, hata na mimi pia nimeshangazwa na wakenya wanavomsifia rais wao Jiwe kwa kusoma lugha ambayo ameitumia kwa muda mrefu sana alivokuwa anasomea Phd yake. Sijui hawa watu huwa wanamchukuliaje rais wao.
 
Tz tunachukulia English kama Lugha za kienyeji. Tofauti na Mkenya anaamini akiongea kiingereza basi ashakua
1. Tajiri
2. Msomi
3. Mjanja
Badilikeni!!!!
lakini ukilinganisha na Mtanzania,,, Mkenya ni mtu tajiri, msomi na mjanja zadi ya Mtanzania. hilo usiwai sahau katika maisha yako yote.
 
lakini ukilinganisha na Mtanzania,,, Mkenya ni mtu tajiri, msomi na mjanja zadi ya Mtanzania. hilo usiwai sahau katika maisha yako yote.
Kenya ako tajiri sana ni Wivu wa wa Tz tu.
Hata Siku ingine tukipata Hunger hatuwezi nunua chakula from TZ
E
 
Reactions: Oii
Sasa kama ndo hivyo, kwa nini tumsifie kwa kuongea kingereza?

Ina maana tunamwambia hawezi kwa hiyo kumsikia akiongea ung'eng'e basi lazima asifiwe!

Akipondwa kwa kutoongea Eng mnalalamika, akiongea broken Eng kama yangu mnamsifia.

Unafiki ni kama uchawi tu.
 
Kumbe padlocks anaeza ongea Kiingereza. Hata kama ni ya kubahatisha lakini amejaribu. Zamani nilikuwa nimempa 2/10 sasa nimempa 5/10. Hongera sana. Watamzania wengine wamuige raisi wao katika kujifunza lugha la kimataifa.
Mkuu, 5 nyingi mno kwa mtu wa elimu yake ukilinganisha na alichokiongea(sio kusoma) na alivyokuwa anasoma

Nampa 3/10 ili aongeze juhudi
 
Hili deal la kufundisha kiswahili kule south limewaharibia sana nadhani wataandika thread nyingi sana.
Kwa kuwa wanajua kiingereza wanaweza kwenda south Africa kufundisha kile kiswahili chao cha kuchanganya nomini na vivumishi nadhani Cril alivishtukia
 
Kenya ni nchi maskini sana.
90% ni jangwa. Wanajitutumua tu
View attachment 1110951
View attachment 1110952

Ndio hili nimekua siku zote najaribu kuwaelimisha ndugu zako kuwa nchi yetu kame tupu, ila la kushangaza tunaongoza ukanda wote huu kiuchumi, kijeshi, kielimu, na kila kitu.
Ina maana tunajituma sana wakati mivivu wenye liinchi likubwa lenye kila kitu mnatujazia omba omba kwetu hapa, hebu tazama hii video.

Tumekuelewa mkuu, 'they confident'!
Sio hapo tu, cheki hii phrase yote

"........ inferiority in the(m) , they (......) confident and..... "

Hizo ni typos and I have no time to do proofreading here, for what? Pick it as it pleases you I don't care 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…