Hili suala la lugha ya English huwa linanipa kipimo cha umbumbu wa mtu, sijui ni kutokana na ulimbukeni {lack of exposure} wa watu wengi au vipi, mimi nimekua interacted na watu wa mataifa tofauti kwenye organisations za kimataifa kiukweli wapo wazungu ambao wakiongea English utatamani kuwaziba midomo
Kuna wazungu hawajui kabisa tofauti ya baadhi ya consonants and vowels they are mixing especially from Eastern Europe countries na majority hawajui kabisa English but you won't expect inferiority in the, they confident and don't look down just because of their second language
Ni baadhi tu ya mbumbu za kiafrika ndio tunateseka, lakini ni sababu ya colonial legacy, back then sio mtu tu akiongea kama mzungu alikua anaheshima na kuonekana wa maana kwenye jamii {upper class} bali hata mpaka styles za nywele.